Dada yangu ana jinsia mbili


Dada yako ni Hermaphrodite ingawa katika hali yake jinsia iliyo active ni hiyo jinsia ya kiume, jinsia yake ya kike haifanyi kazi bara bara na ndiyo maana hujawahi kusikia kama dada yako ana boyfriend. Proof ya pili kuwa dada yako ame base kwenye jinsia ya kiume ni uwepo wa dada hawa wawili. Ikiwa angeingia mwanaume akawafumania kule chumbani basi tungesema kuwa jinsia zote mbili zinafanya kazi. Physicall ni Hermaphrodite lakini ana uke usiofanya kazi ipasavyo. Matiti aliyonayo yanamfanya akubali kuitwa ni dada yako vinginevyo inaonyesha angependa sana kuitwa KAKA.

Kwa upande wako nakushauri kuwa hili si jambo la ajabu wapo wengi wenye hali hizo tatizo kwao jinsia zao zote ziko dormant japo kwa ile ya kike inalazimishwa tu kutumika kama "uke"
 

so itabidi akazibe ile shimo au ataendeleza kigawa dozi bila kuziba? akiwa kwenye ndoa huyu ni rahsi sana kucheat'
 
Mmh, pole zake kwa kweli
Ila kama haumwi hofu ya nini?
 
Alikuonyesha live? Ipi ina nguvu?

Wakati naamulia ugomvi walikuwa wa mnyama na ilikuwa imesimama, ni dushelele kama ya mwanaume kabisa tena inaweza kuwa inazidi dushelele za wanaume wengi tu
 
Mmh, pole zake kwa kweli
Ila kama haumwi hofu ya nini?

Sina hofu isipokuwa nimetaharuki tu kujua kwamba dada yangu yupo hivyo, i wish ningejua mapema zaidi
 
MAJIDAI pole sana kwa kujua siri hiyo tena bila kutarajia.

Nafikiri ni vyema kukubaliana na ukweli huo as hauwezi kuubadili. Kama hii habari ni kweli na dada yako ana jinsia 2.. Ni uumbaji wa Mungu na hata ukiendelea kushangaa na kutokuamini ni kazi bure.

Weka mguu wako ktk kiatu chake, unafikiri yeye alipenda awe hivyo. Pia unafikiri anajisikiaje hasa baada ya kaka yake kujua siri yake???

Pengine wazazi wako walifanya kila waliloweza kumsaidia ikashindikana either kutokana na mazingira yetu au hata matatizo ya kiuchumi hivyo hakuna wakulaumiwa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Yaani kwa kweli huyu kijana atakuwa anajisikia vibaya sana ktk hili, nimeshawahi kusikia watu wa hivyo. Ila nadhani kwa sasa ni too late hata ukipewa ushauri coz ushauri ulihitajika akiwa mtoto ili madaktari wampime na kumfanyia upasuaji kwa jinsia mojawapo, sasa ktk umri huo sina uhakika. Ila muone Dokta kwa ushauri zaidi wa kitaalam
 
Kaka hata mimi natamani ingekuwa simulizi

Basi pole. Na ukijikumbusha enzi za utoto wazazi walikuwa wanamchukuliaje? Ulishawahi kuhisi lolote pale unapowaona wazazi pamoja na dadakaka yako?
 
Hao wenye jinsi mbili wapo wengi kwenye jamii hapa nchini. Kuna lecturer mmoja yuko pale UDSM, ni mwanamke lakini ana uume pia. Huwa ni mtu wa masanga, wanywaji wa maeneo ya Mwenge na Sinza watakuwa wanamjuaa!!! Kwa hiyo MUJIDAI usihangae sana
 
Basi pole. Na ukijikumbusha enzi za utoto wazazi walikuwa wanamchukuliaje? Ulishawahi kuhisi lolote pale unapowaona wazazi pamoja na dadakaka yako?

Sikuwahi kuhisi chochote, ananizidi miaka tisa, so wakati naanza kujitambua alikuwa tayari ameshakuwa masichana
 
Sasa ww kibakuuma nn mdogo wangu we mwache hayo ni maisha yake. Cha msingi ww piga kitabu huyo dada yako kwa elimu yake aliyonayo inatosha kabisa kujitambuaa hapo alipo anafanya nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…