Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu wana JF. Naomba kushare nanyi suala hili kuhusu dada yangu wa tumbo moja ambalo sikuwahi kulihisi, kulidhani wala kulijua kwa zaidi ya miaka 20. Kifupi mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 23 ( Natimiza miaka 24 mwezi Juni mwaka huu ). Kwa sasa ninasoma mwaka wa mwisho katika chuo kikuu kimoja hapa nchini Tz .
Kwetu tumezaliwa watatu dada zangu wawili, wa kwanza alizaliwa miaka ya sabini ( R.I.P ) na huyu wa pili ambaye ndie point of discussion, alizaliwa mwanzoni kabisa mwa miaka ya 1980. Ngoja niende moja kwa moja kwenye point, siku ya jumamosi iliyopita ( tarehe 27 APRILI 2013 ) saa nne kamili za asubuhi nilienda kumtembelea dada yangu ( ni msomi/ ana masters/kazi nzuri na miradi mikubwa/hana mume, mtoto wala sijawahi kusikia chochote kuhusu kuwa na rafiki wa kiume yaani boyfriend )...Nilienda pale kwa ajili ya kupiga mzinga kidogo na nilipanga kurudi hosteli ambako ninaishi siku iliyokuwa inafuata yani jumapili.
Mida ya saa sita mchana, aliwasili mdada mmoja ambaye ninamjua kama rafiki wa karibu wa dada yangu, tulisalimia kisha dada akaja kumpokea mgeni wake kisha wakaelekea ukumbini, baadaye nikarudi zangu chumbani kwangu na kuendelea kucheza na laptop yangu. Yalipita kama masaa mawili hivi mdada mwingine aliwasili nyumbani na kuingia moja kwa moja chumbani kwa sista ( sikujua kilichokuwa kinaendelea coz wakati huo nilikuwa chumbani, ila nilikuja kujua baadaye kwamba kuna mdada mwingine alikuja nyumbani pale ).
Nilikuja kustushwa baadaye na kelele za ugomvi mkubwa sana, zikitoka chumbani kwa dada yangu ambako nilisikia kelele, na matusi mazito yakiporomoshwa, vilio na chupa zikivunjwa vunjwa hovyo, sikuwa na jinsi nikaamua kukimbilia upande kilipo chumba cha dada yangu kutoa msaada. Kufika sikuamini kilicho tokea, nilimkuta dada yangu na yule dada mwingine ambaye nilikuwa namjua kama rafiki yake wakiwa kama walivyo zaliwa, wamelewa wanagombana na huyu mdada mwingine aliyekuja wakati mimi nimo ndani, huyu dada mwingine alikuwa anamshambulia yule dada aliyekuja mara ya kwanza na dada yangu alikuwa anajaribu kumzuia..
Kilicho nishangaza zaidi kuhusu dada yangu ni kwamba ana uume ( tena mkubwa tu kama uume wa mwanaume rijali, umesimama barabara na umevalishwa kinga ), mwanzoni nilidhani labda amevaa midoli lakini haikuwa hivyo, nii uume kabisa ( ambao haujatahirwa lakini ).. Nilicho kifanya ni kumtoa yule dada aliyekuja mwishoni hadi nje kisha nikarudi zangu chumbani kwangu....
Sikufanikiwa kuongea na dada yangu usiku huo hadi kesho yake but sikuongea chochote kuhusu kilicho tokea jana yake though aliniomba radhi kwa kilicho tokea but hatukuzungumzia kabisa kuhusu suala la yeye kuwa na jinsia mbili..Kusema ukweli suala hili linanikosesha sana raha na i dont know how will i cope with it.sitaongea na yoyote wala sitawauliza wazazi wangu but picha hii nitakaa nayo kwa muda mrefu sana, simuoni tena dada yangu kama nilivyo kuwa naumona before..
NAOMBA KUWAULIZA , HIVI HILI NI SUALA LA KAWAIDA KWELI KWA MWANAMKE KUWA NA JINSI MBILI NA ZOTE ZIKAWA ZINAFANYA KAZI ! AU NI KWA DADA YANGU TU? NAHISI LIKE ITS A KIND OF BADLUCK TO OUR FAMILY..PLEASE NIPENI USHAURI WENU
Usihofu,inatokea mara chache sana na binadamu hawa wapo kabisa na hapa bongo landu wapo na mimi ni shaidi kabisa maana kuna jirani yangu alikuwa na mtoto wa aina hiyo ila alivyofikisha miaka 12 alipimwa homoni za kike na za kiume ikagundulika kuwa yeye za kike ndo nyingi zaidi na alifanyiwa operation, I don't how na uume ukakatwa akabakiwa na uke. Mwanzo huyu mtoto alikuwa penda kucheza na midume na mavazi yake ya kidumedume tu na alikuwa anapenda kuwa dume, katika kumdadisi alisema ktk michezo ya kitoto ya kujaribu kudu alisha "du" na mtoto wa kike.
Ila kilichotokea kwenu na kwa familia nyingi za kiafrika zinakumbana na matatizo haya ni
- 1 Hofu na aibu
- 2 Uelewa mdogo wa mambo mbalimbali
- 3 Uwezo mdogo wa kiuchumi
- 4 Huduma duni za Afya
Haya mambo ndio yanayotukwamisha, kwani kwa wenzetu walioendelea hiki si kitu cha ajabu, huwa ikitoke kuna vipimo maalumu vya kujua homoni za jinsia ipi ni nyingi kwa mtoto then from the beginning wana mwandaa mtoto kuwa ktk jinsia hiyo.
Nadhani wazazi wako waliona aibu so hawakuomba ushauri wa watu au uwezo wa kiuchumiulikuwa mgumu kwa ajili ya kufuatilia matibabu.
Hunahaja ya kuhofu wala kuumiza kichwa ni jambo la kawaida sana, ila huyo dada kama ni msomi kihivyo usemavyo atakuwa ameshajua yeye anafiti wapi, kwa maelezo yako atakuwa dume ila anashindwa kuiweka wazi ktk jamii maana wanajua yeye ni jike.
Alikuonyesha live? Ipi ina nguvu?
Sina hofu isipokuwa nimetaharuki tu kujua kwamba dada yangu yupo hivyo, i wish ningejua mapema zaidi
Ukiipata niforwardie......
Pombe natumia ndio
Kaka hata mimi natamani ingekuwa simulizi
Huamini katika story. But unaamini kuwa shemales wapo? sawa?Hii itakuwa story ya kutunga tu, mi siamini kama kuna ukweli wowote hapa!
Basi pole. Na ukijikumbusha enzi za utoto wazazi walikuwa wanamchukuliaje? Ulishawahi kuhisi lolote pale unapowaona wazazi pamoja na dadakaka yako?