Dada yangu ana jinsia mbili

Lakini kaka kwanini ujisikie vibaya? Yeye anaishi vizuri tena anakuzidi hadi unaenda kumpiga injection from time to time kwanini ujisikie vibaya? Anaishi na ana amani kubwa sana hadi amesonga kimaisha iweje wewe ujisikie vibaya jamani. Kubali hali na uchape mwendo mkuu.

Ila stori yako nayo mkuu! Sasa kwanza unasema kitu kilikuwa kwenye ndom, unajuaje kama hakijapigwa mkasi aisee, labda uliona 'kipele' cha ndom ndio ukahisi mkono wa sweta. Na pia we mkaka, hivi ugomvi wote huo hadi kuvunja chupa na mimatusi yote hiyo kweli bado itakuwa imedinda tu? Kweli mshtuko wote huo na kuchanganyikiwa na hayo yote bado kitu kiwe kimeenda winga tu?

Haya bwana.
 
Mara nyingi haiwi ana jinsia mbili yaani uke na uume, bali anakuwa mwanamke lakini ana dushelele. Hao wako kibao wala usijali. Lakini pia dada yako hana jinsia mbili ulichoona ni dildo wanavaa kiunoni, ndio maana ukaona kama imevishwa ndomu. Kwa hiyo dadako ni msagaji mzuri sana ndio maana anagombewa na amdemu wenzake.
 
umesema dushelele ilivishwa kinga, na umesema dushelele haijatahiriwa, na ilikuwa usiku. Na hamkuwahi kujadili kuhusu jambo hilo. Swali langu: uliwezaje kujua kuwa dushelele iliyokuwa ndani ya kinga haijatahiriwa?

kama ilikuwa ni mahakamani huyu jamaa ashafungwa kwa uongo, kitu kiko ndani ya kinga utajuaje kama ajatairiwa..
 
Huamini katika story. But unaamini kuwa shemales wapo? sawa?
Yaaani wana bahati sana nilitaka niwamwagie mapicha ya SheMale ndio wangeamini sasa hili Jukwaa sio lile la MK ngoja wakikua hawa wanafunzi wataingizwa na watazikuta kuliko kubishana nao na kuapata BAN
 
Mwambie aende kwny porn industry atapata mshiko mrefu sana
 
Hii itakuwa sio kweli kabisa na kama ni kweli usingekuja kuandika kwenye social Network una uhakika gani huyo unayesema ni dada yako hatumii Jf? Na ikiwa anatumia akisoma hii mada huoni utakuwa umejigombanisha na huyo dada yako? Acha kutudanganya wewe tumeshakua sasa umesikiaee kama vp kakojoe ukalale maana hadidhi uliyosimuliwa uje kutusimulia imekuwa nzuri na hujatujuza inatufundisha nini.
 

Sio dildo, its penis brother..dildo nazifahamu..am too old kushindwa ku differentiate kati ya dildo na penis brother
 

Ni mjanja, hawezi kugombana na mimi kwa sababu hiyo
 
kama ilikuwa ni mahakamani huyu jamaa ashafungwa kwa uongo, kitu kiko ndani ya kinga utajuaje kama ajatairiwa..

It seem u have got a very little understanding about dushelelez..Unaweza vipi kushindwa kujua kama imetahiriwa au haijatahiriwa kwa sababu imevalishwa kondomu?
 
Hakunaga kitu kma hiki alivaa towi

Sio toy kaka, matoy nayafahamu , kama ingekuwa ni toy si ningesema tu nimemkuta anasagana, but blv me, it was a real dushelele
 
umesema dushelele ilivishwa kinga, na umesema dushelele haijatahiriwa, na ilikuwa usiku. Na hamkuwahi kujadili kuhusu jambo hilo. Swali langu: uliwezaje kujua kuwa dushelele iliyokuwa ndani ya kinga haijatahiriwa?

Huyo anakastori kauongo
kwanza inaezekana ni yeye ndio mwenye matatizo
 

kama ni uweli, ina maana huyu dada siyo Msagaji anatumia nanii ya kiumbe kuwalamba hao wanawake. Na bila shaka atakuwa anawaridhisha vya kutosha.

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Absolutely right



Hili linatakiwa kutolewa ushahidi na watu wawili. aliyemlala huyo dada na aliyelalwa na huyo dada



Huvi unaweza kumshudiaje dadaako hana mwanaume?

Plz kaka, ur a JF user for so long time,i dont think u dont understand what am talking about ..
 

Sijasikia vibaya isipokuwa nimetaharuki tu plus am so sory about her
 
Absolutely right



Hili linatakiwa kutolewa ushahidi na watu wawili. aliyemlala huyo dada na aliyelalwa na huyo dada



Huvi unaweza kumshudiaje dadaako hana mwanaume?


U cant be serious brother
 

Hermaphrodite , wanaweza kubeba mimba au wanauwezo kumpa mtu mimba??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…