Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,332
- 31,306
Lakini kaka kwanini ujisikie vibaya? Yeye anaishi vizuri tena anakuzidi hadi unaenda kumpiga injection from time to time kwanini ujisikie vibaya? Anaishi na ana amani kubwa sana hadi amesonga kimaisha iweje wewe ujisikie vibaya jamani. Kubali hali na uchape mwendo mkuu.
Ila stori yako nayo mkuu! Sasa kwanza unasema kitu kilikuwa kwenye ndom, unajuaje kama hakijapigwa mkasi aisee, labda uliona 'kipele' cha ndom ndio ukahisi mkono wa sweta. Na pia we mkaka, hivi ugomvi wote huo hadi kuvunja chupa na mimatusi yote hiyo kweli bado itakuwa imedinda tu? Kweli mshtuko wote huo na kuchanganyikiwa na hayo yote bado kitu kiwe kimeenda winga tu?
Haya bwana.