Dada yangu ana jinsia mbili

Dada yangu ana jinsia mbili

Kama hii Story sio ya Kutunga, kutokana na kuwa Na mapungufu katika Mtiririko wake, Basi itakuwa inafanana sana na True Story ya "Mwanadada Kidawa"

Huyu Dada(Kidawa) alizaliwa na Jinsia Mbili. Kimuonekano alikuwa na Shape halisi na Umbo la kibantu la Mwanamke.

Alipo Pevuka, akajikuta jinsia yake ya Kiume ndio iko active. Lakini mUonekano wake ulikuwa ni Mwanamke kwani alikuwa na Boobs za Ukweli na kwa Nyuma ndio usisema achilia mbali sura na Guu la Kimanyema alokuwa nalo.

Wanaume wengi walimtongoza na akawa anaingia Gia.
Kila Mwanaume aliye fanikiwa kumchukua hakuna aliye thubutu kumrudia tena.

Hadi siku Moja kijana Mmoja alipoamua kuuvunja Ukimwa na kujaribu kufichua yaliyokuwa yakitokea/endelea Nyuma ya pazia wakiwa chumba cha Maraha na Mwanadada KIDAWA.

Kijana huyo alimfuata Mmoja wa rafiki yake ambaye aliwahi kumuona akiwa na Mahusiano na Kidawa na kumuuliza;

Juzi nlimchukua Kidawa lakini kilichonitokea siamini. Na naamini hata ww imekukuta. Yule jamaa akaweweseka kuwa siri sio siri tena naye hakutaka Kuficha Ukweli. Wakaanza kusimuliana yaliyojiri pindi wakiwa na Kidawa A to Z.

Ilikuwa ni kawaida ya Kidawa kwa kila kijana anaye mtongoza Basi alikuwa anahakikisha yeye ndio anayeenda Kufaidi.
Na mchezo huo alikuwa akiufanya kutokana alikuwa na hisia zote za kiume(I mean sehem yake ya kiume ndio ilikuwa inafanya kazi).

Kwa yoyote aliyebahatika kumtongoza Kidawa na kuwekeana Miadi ya kwenda kujivinjari naye, Basi Mkiwa Chumbani alikuwa anahakikisha Mna kinywaji. Pili alikuwa lazima akulazimishe utangulie Bafuni. Akiwa tayari kesha kuwekea Dawa ya usingizi kwenye Kinywaji chako. Anakuita ili uje uonje tena puff mbili tatu za glass kabla ya kwenda kuoga.

Kitakachoendelea hapo ni yy(Kidawa) hujipakulia Starehe kutoka kwako apendavyo. Na akimaliza starehe yake hukuacha hujitambui na kuondoka zake.

Hatima ya kidawa: baada ya vijana kuamua kulifichua, walijipanga, wakamtafuta kijana kutoka Mbali na Maeneo yao, wakampa Coaching Nzuri. Kijana akafanikiwa kutoka na Kidawa.

Baada ya kuingia Chumbani kabla ya kufanya chochote: waliibuka vijana kama 11 waliokuwa wamefanyiwa Mchezo Mchafu na Kidawa. Kilichoendelea hapo. Kilio cha Maumivu kutoka Kwa Kidawa. akawa admitted Hosp kwa wiki mbili akiwa hajitambui.
 
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
562406_391824147537162_261686161_n.jpg
 
Pole sana mkuu,ila inabidi kukaa chini mayb na wazazi wako ili kutoa yaliyo moyoni mwako lasivyo hilo suala litakusumbua sana.
 
Kuna kisa kama hiki kiliripotiwa hapa jamvini ila ilihusu jamaa aliye oa mke mwenye jinsia mbili ....so ni vitu ambavyo vipo na vinatokea
 
Sio shemale kaka, yeye ni HUNTHA ama Hermophrodite..she male ni wanaume wanao fanyiwa operesheni, hata w ewe ukiamua, unaweza kuwa shemale just go to Bangkok or Brazil...

Hadithi ya kutunga ila inafurahisha! Unajua kuufanya uongo unyooke ni kazi ngumu sana sana, lazima utaacha loopholes ndogo ndogo tu. Kwa mfano hiyo ya kuona hajatahiriwa huku kavaa kinga, halafu nyingine kali zaidi ni hiyo ya mchuma kubaki umesimama huku mtu yuko kwenye ugomvi! Haiwezeken! Ndio maana kila siku serikali ya ccm inaonekana ina vilaza wengi kwani mara nyingi hujaribu kupindisha ukweli kuwa uongo.
 
Pole kwa huzuni ila Hongera kwa kuwa na dada/kaka mzuri mrembo na amejaaliwa viungo muhimu....je vipi kifuani..hipsi..mzogo nyuma umekaaje.,? kidem dem au kidume dume?
 
Inatokea kuwa na she - male. Mwanamke anakuwa na jinsia zote mbili, ila inayofanya kazi inakuwa moja. Na kama ni hivyo usije kushangaa ukakuta amempa mimba mwanamke.

Wazazi wako lazima watakuwa wanalijua hili kwa vile hayo ni maumbile ya kuzaliwa nayo. Huna haja ya kuumiza kichwa, kubali matokeo.
 
dada yako wala hana jinsia mbili kama unavyofkl,ana umbo la kike na anajinsia moja ya kiume, p'ple call them shemale/tranny(you can google).
Sishangai kuwa dada yako ni shemale lakini nakushangaa ww mpaka umefika chuo hutambui uwepo wa watu wa aina hii hp tz na duniani.
Hk ni k2 cha kawaida tu fella take it easy.
 
it is tough to forget but easy to erase try to focuse on ua monthly routine, it wl be swept away soon fill soury 4 you
 
ushapata laana weye.umeona dushelele na k yake?alololoooo
 
pole sana kaka!mkubali tu kama alivyo nadhani hata yeye is in deep tress given the circumstances you found out! nadhan utabidi utafute namna ya kuongea naye kuhusu hili na umeleweshe that u still value her the same despite the circumstances,huo ndo ushauri wangu kaka, once again pole sana kaka!
 
Wewe ni msomi wa kuweza kupembua mambo vyema,kazungumze na wazazi wako watakupa ukweli wote juu ya dada yako.
 
Nini kinafanya moyo wako ukuume? Wewe ungezaliwa hivyo ungefanyaje?

Sikia Majidai, wapo watu walioumbwa hivyo. Hata ukigugo shemale utawaona hatu wa jinsi hiyo. Huna sababu ya kuumia mpende tu dada yako ndivyo alivyoumbwa na wala si mkosi katika familia.

Zamani za mababu ilikuwa mtoto akizaliwa wa namna hiyo anauawa. Siku hizi wapo wengi tu.

Unachosema ni kweli kabisa zamani watu aina hii walikuwa wakiuwa kwa staili yakupotea tu katika jamii tena wakiwa wadogo kabisa. Kama katika mikoa ya pwani watoto waliozaliwa na jinsia mbili kama sista wa Majidai, mapacha, viwete, na ma alibino walikuwa kikatili kwa kuzikwa wazima, au kutumbukizwa kwenye mitungi au mapipa ya maji in a very brutal way kwa kuwa walikuwa ni mikosi.

Walikuwa wanauwa wakiwa wadogo na ni mauaji yaliyokuwa yakiwa administer by the grandmothers / wakwe kwani ilihesabika kuwa mikosi katika familia. Watu wameanza kubadilika kidogo kwenye miaka ya 60 kuja mbele.

Kwa mfano ni watu wa mikoa ya bara tu ndiko walikuwa waki appreciate mapacha kuwa ni baraka. Mwisho wa siku inabidi ndugu yangu Majidai awe open minded kuweza kukubaliana na hali halisi. Maana anaweza hata ku imagine kuwa huyo sista wake angalikuwa ni brother wake halafu ni gay si ungekufa kwa mshangao🙂.
Lakini sifa za kupevuka na kuwa mtu mzima ni pamoja na moyo wako kubeba hata yale yanayokinzana na utashi wa moyo wako au mambo ambayo huwezi kuyabadilisha katika maisha yako. Ushauri wangu kwa Majidai ni kuwa take it easy, elewa situation na uwe na amani moyoni na maisha yaendelee.
 
Umeshaujua ukweli, isikufanye ukose amani as long as she is an adult na anayo maisha yake..u just move on with your life.

Maisha yenyewe mafupi, ya nini kujipa stress? Live your life broader
 
Kwa sababu yeye kimuonekano ni mwanamke mrembo sana,Kuanzia, sura, umbo, matendo yake, suati nakadhalika, but ndio hivyo tena ana uume ( inaniuma sana kuwa na dada ambaye ni jike dume ), kwa jinsi alivyo ingependeza sana kama angeolewa na kuanzisha familia yake na kuleta heshima kwa familia yetu but ndo hivyo tena sidhani kama ataolewa

yeye mwenyewe inaonekana
kafurahia uanaume, thats y anautumia!!
pole sana coz sina la kusema!!
 
Stori yako mi nahisi haijakamilika ,
Kama kweli dada yako aliona kama wew umemuona na umeshajua kwamba anajinsia ya kiume , haingii akilini kwamba mpaka sasa hamjaongea chochote, na kwa kilichotokea kwa uhalisia ni lazima ulipatwa na mshangao kwani kwa uliloliona hukulitegemea , . Lakini pamoja na yote dada yako anaonyesha anapelea zaidi kwenye ukiume kuliko hali harisi ya mwonekano wake mwingine kwa hvy si lazima tu aolewe laah! Anaweza akaoa pia kama hisia zinavyojionyesha !! Pole sana
 
Back
Top Bottom