Dada yangu ana jinsia mbili

Dada yangu ana jinsia mbili

Naomba kucheka wanajukwaaa... " Bwahabwahahhaaaahhahahhahaaa.. Kwikwikwikwi.." Samahanini jaman kwa kucheki, nimechukulia kama stori ya kutungwa hivi na bado naamini hvyo.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
umesema dushelele ilivishwa kinga, na umesema dushelele haijatahiriwa, na ilikuwa usiku. Na hamkuwahi kujadili kuhusu jambo hilo. Swali langu: Uliwezaje kujua kuwa dushelele iliyokuwa ndani ya kinga haijatahiriwa?

nip-m nikupatie zawadi toka kwa wakili msomi. Namaanisha.
 
Habari zenu wana JF. Naomba kushare nanyi suala hili kuhusu dada yangu wa tumbo moja ambalo sikuwahi kulihisi, kulidhani wala kulijua kwa zaidi ya miaka 20. Kifupi mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 23 ( Natimiza miaka 24 mwezi Juni mwaka huu ). Kwa sasa ninasoma mwaka wa mwisho katika chuo kikuu kimoja hapa nchini Tz .

Kwetu tumezaliwa watatu dada zangu wawili, wa kwanza alizaliwa miaka ya sabini ( R.I.P ) na huyu wa pili ambaye ndie point of discussion, alizaliwa mwanzoni kabisa mwa miaka ya 1980. Ngoja niende moja kwa moja kwenye point, siku ya jumamosi iliyopita ( tarehe 27 APRILI 2013 ) saa nne kamili za asubuhi nilienda kumtembelea dada yangu ( ni msomi/ ana masters/kazi nzuri na miradi mikubwa/hana mume, mtoto wala sijawahi kusikia chochote kuhusu kuwa na rafiki wa kiume yaani boyfriend )...Nilienda pale kwa ajili ya kupiga mzinga kidogo na nilipanga kurudi hosteli ambako ninaishi siku iliyokuwa inafuata yani jumapili.

Mida ya saa sita mchana, aliwasili mdada mmoja ambaye ninamjua kama rafiki wa karibu wa dada yangu, tulisalimia kisha dada akaja kumpokea mgeni wake kisha wakaelekea ukumbini, baadaye nikarudi zangu chumbani kwangu na kuendelea kucheza na laptop yangu. Yalipita kama masaa mawili hivi mdada mwingine aliwasili nyumbani na kuingia moja kwa moja chumbani kwa sista ( sikujua kilichokuwa kinaendelea coz wakati huo nilikuwa chumbani, ila nilikuja kujua baadaye kwamba kuna mdada mwingine alikuja nyumbani pale ).

Nilikuja kustushwa baadaye na kelele za ugomvi mkubwa sana, zikitoka chumbani kwa dada yangu ambako nilisikia kelele, na matusi mazito yakiporomoshwa, vilio na chupa zikivunjwa vunjwa hovyo, sikuwa na jinsi nikaamua kukimbilia upande kilipo chumba cha dada yangu kutoa msaada. Kufika sikuamini kilicho tokea, nilimkuta dada yangu na yule dada mwingine ambaye nilikuwa namjua kama rafiki yake wakiwa kama walivyo zaliwa, wamelewa wanagombana na huyu mdada mwingine aliyekuja wakati mimi nimo ndani, huyu dada mwingine alikuwa anamshambulia yule dada aliyekuja mara ya kwanza na dada yangu alikuwa anajaribu kumzuia..

Kilicho nishangaza zaidi kuhusu dada yangu ni kwamba ana uume ( tena mkubwa tu kama uume wa mwanaume rijali, umesimama barabara na umevalishwa kinga ), mwanzoni nilidhani labda amevaa midoli lakini haikuwa hivyo, nii uume kabisa ( ambao haujatahirwa lakini ).. Nilicho kifanya ni kumtoa yule dada aliyekuja mwishoni hadi nje kisha nikarudi zangu chumbani kwangu....

Sikufanikiwa kuongea na dada yangu usiku huo hadi kesho yake but sikuongea chochote kuhusu kilicho tokea jana yake though aliniomba radhi kwa kilicho tokea but hatukuzungumzia kabisa kuhusu suala la yeye kuwa na jinsia mbili..Kusema ukweli suala hili linanikosesha sana raha na i dont know how will i cope with it.sitaongea na yoyote wala sitawauliza wazazi wangu but picha hii nitakaa nayo kwa muda mrefu sana, simuoni tena dada yangu kama nilivyo kuwa naumona before..

NAOMBA KUWAULIZA , HIVI HILI NI SUALA LA KAWAIDA KWELI KWA MWANAMKE KUWA NA JINSI MBILI NA ZOTE ZIKAWA ZINAFANYA KAZI ! AU NI KWA DADA YANGU TU? NAHISI LIKE ITS A KIND OF BADLUCK TO OUR FAMILY..PLEASE NIPENI USHAURI WENU
hiyo ishu ndogo sana,kuanzia hapo anza kumuita kaka,kwa kawaida watu wenye jinsia mbili moja huwa active na nyingine c active,huyo ndugu yako ana jinsia zctive kiume,mshauti tu akatairiwe,ili aendelee kuwapiga miti vzr hao wanawake,hongera maana umepata kaka bila kutarajia
 
Usijali kama una uhakika jinsia zake zote zinafanya kazi kwa yeye haina haja ya kuolewa kwani we ni lazima upate shemeji? Anauwezo wa kujipa mimba yeye binafsi upo hapo chum?
 
story tu hamna lolote
huo ugomvi gani mashine isimame
 
pole sana kaka, huu ni mtahani katika maisha.
 
mada ngumu kama hizi huwa nasubiri kusoma maoni ya mtaalam hapa anaitwa kongosho!kongosho karibu utoe ushauri hapa
 
Sio shemale kaka, yeye ni HUNTHA ama Hermophrodite..she male ni wanaume wanao fanyiwa operesheni, hata w ewe ukiamua, unaweza kuwa shemale just go to Bangkok or Brazil...

Ni kweli SHEMALE wanafanyiwa upasuaji (surgery) ya kubadilishwa jinsia na baada ya hapo kuanza kutumia suppliments ambazo zina trigger hamornies ili miili yao kuweza ku form mfumo wa umbile la kike kama vile kuota manyonyo (maziwa), kuanza kuwa na mat*k0 makubwa (kibinda nkoi), hips na kadhalika.
 
Mtumie email Ciara akueleze aliitoatoaje yakwake moja mana nae ni sare sare na dadako
 
562406_391824147537162_261686161_n.jpg


Jamani mnatuogopesha na hizi picha zenu za kutisha!!!
 
Sina hofu isipokuwa nimetaharuki tu kujua kwamba dada yangu yupo hivyo, i wish ningejua mapema zaidi

Inachukua muda kukubali na hatimaye kuilewa situation yenyewe. Lakini muda utafika tu na utaelewa. Nakuhakikishia sista wako mwenyewe ameshaikubali hali hiyo na wala hainyimi usingizi.

Pili, lazima uelewe kuwa jinsia ya sista inayofanya kazi ni ile ya kiume hivyo lazima ukubali kuwa hutaona njemba zinaingia na kutoka hapo kwake. Bali utaona masista duu tu. Na hiyo ndio dating life yake kama wewe unavyo date mademu.

Cha kumshauri iwapo ni lazima wewe kufanya hivyo, ni kumushauriawe at least awe na mpenzi mmoja at a time ili kujitunzia heshima na usiri wa situation yake. Japokuwa kama ningekuwa wewe ninge act polite zaidi kwa kusubiri mwenyewe aanzishe hiyo topic badala ya wewe kuanzisha. Utamfanya ajisikie unyonge na aone privacy yake iko rehani japokuwa tekinikali imeshakuwa hivyo. Hivyo subiri uombwe ushauri. Otherwise anaweza kukupiga biti hata kwake usitie pua🙂

Vinginevyo ni hali ya kawaida hata wewe mwenyewe ni kwa sababu ndio kwanza umeijua ndiyo maana inakusumbua. Lakini 'with time" hata wewe utaikubali tu. Ukitataka kuishi hii dunia kwa amani basi ni lazima ukubali kukubaliana na hali au mambo ambayo huwezi kuyabadili (you must have to accept things or situations that you can't change them) ili maisha yaweze kusonga mbele. Jifunze hili na wewe utakuwa na amani moyoni mwako.
 
sidhan kama kuna usagaji hapa..mwenyew ashasema dadake ana uume..tena uko imara
...ugomvi ulihusu nn? Kwa hiyo hapo kuna v2 vingi vya kukushauri, ikiwemo jinsi ya kumshauri sister aachane na usagaji pia usijal kila ki2 hupangwa na huwez kwepa na mungu alipanga ulifahamu hilo kwa njia hiyo, pili ilihali anaishi nakuomba achana na kuliwaza na maisha yasonge.
 
Usihofu,inatokea mara chache sana na binadamu hawa wapo kabisa na hapa bongo land wapo na mimi ni shaidi kabisa maana kuna jirani yangu alikuwa na mtoto wa aina hiyo ila alivyofikisha miaka 12 alipimwa homoni za kike na za kiume ikagundulika kuwa yeye za kike ndo nyingi zaidi na alifanyiwa operation, I don't how na uume ukakatwa akabakiwa na uke. Mwanzo huyu mtoto alikuwa penda kucheza na midume na mavazi yake ya kidumedume tu na alikuwa anapenda kuwa dume, katika kumdadisi alisema ktk michezo ya kitoto ya kujaribu kudu alisha "du" na mtoto wa kike.

Ila kilichotokea kwenu na kwa familia nyingi za kiafrika zinakumbana na matatizo haya ni
  1. 1 Hofu na aibu
  2. 2 Uelewa mdogo wa mambo mbalimbali
  3. 3 Uwezo mdogo wa kiuchumi
  4. 4 Huduma duni za Afya

Haya mambo ndio yanayotukwamisha, kwani kwa wenzetu walioendelea hiki si kitu cha ajabu, huwa ikitoke kuna vipimo maalumu vya kujua homoni za jinsia ipi ni nyingi kwa mtoto then from the beginning wana mwandaa mtoto kuwa ktk jinsia hiyo.
Nadhani wazazi wako waliona aibu so hawakuomba ushauri wa watu au uwezo wa kiuchumiulikuwa mgumu kwa ajili ya kufuatilia matibabu.
Hunahaja ya kuhofu wala kuumiza kichwa ni jambo la kawaida sana, ila huyo dada kama ni msomi kihivyo usemavyo atakuwa ameshajua yeye anafiti wapi, kwa maelezo yako atakuwa dume ila anashindwa kuiweka wazi ktk jamii maana wanajua yeye ni jike.
Vipi kuhusu wazazi wenu je wapo hai?haswa mama yeye ndio anajua kila mtt amemzaa vipi,mkuu ingekuwa vyema kama wana familia ukakaa na mama ukamuuliza kuhusu hili mtapata ufumbuzi tu endapo atathibitisha kuwa alimzaa hivyo
 
kwanza pole..maana ulichokishudia ni kitu kikubwa sn..dada yako hayo ni maumbile yake,na inaonekana ameyakubali na anaridhika na hali aliyonayo..na kwa upande wako,time is always the best healer..so itachukua muda lakini akili yako itakubaliana na hali aliyonayo dada yako..hio sio badluck katika familia..
 
Ilikuwaje ukawa na ujasiri wa kutizama?
Watu wapo kwenye ugomvi inawezekana hizo sehemu zake zikawa bado zimedinda?
Hii ni kweli au kuchanagamsha jukwaa?
 
FYI: Hebu soma hiyo article ndio utajua hizo case ziko nyingi tu;

=======


JIKE DUME LATIKISA JIJI


Erick Evarist na Gladness Mallya

MWANAMKE wa aina yake aliye na viungo vya kike na kiume, amekuwa gumzo ndani ya Jiji la Dar es Salaam.
Mwanamke huyo anayeitwa Mary (25), amekiri kwa kinywa chake kuwa ana viungo vyote vya kike na kiume na vinapiga mzigo sawia.

Awali, mapaparazi wetu waliinyaka ishu hiyo kutoka kwa rafiki wa karibu na Mary ‘Jikedume’ mwenye maskani yake Kimara, Dar ambapo alieleza kuwa mbali na ile ya kike, pia mrembo huyo ana nyeti ya kiume na mara nyingi marafiki zake wengi ni wanaume.

RISASI MZIGONI
Ili kupata undani wa taarifa hiyo iliyozagaa jijini kama moto wa kifuu, mwishoni mwa wiki iliyopita Risasi Mchanganyiko lilizama mzigoni na kumsaka kwa udi na uvumba ambapo lilikutana na Mary maeneo ya Kinondoni, Dar anapopiga mzigo katika ofisi moja akitumikia nafasi ya katibu muhtasi, hivyo akaanika maisha yake ya kimapenzi akikiri kuwa alizaliwa katika hali hiyo na ameizoea.

YA KIUME NI ZAIDI
Mary alisema kuwa anaona ni kitu cha kawaida lakini mara nyingi huwa yenye nguvu na hisia zaidi ni ile ya kiume.
Mrembo huyo alisema kwa upande wa ile ya kike inafanya kazi kama wanawake wengine na ili kuweka mambo sawa, huwa ana mpenzi wake mmoja anayemtimizia mahitaji yake.

NI VIGUMU KUAMINI
“Najua ni vigumu kuamini, lakini kwa upande wangu, mimi najiona kawaida tu na namshukuru Mungu kwa sababu yeye ndiye aliyeniumba hivi, hivyo namrudishia sifa na utukufu, sijawahi kujuta kwani nitakuwa namkosoa muumba wangu,” alisema Mary.
Aliendelea kutambaa na mistari kuwa tangu alipozaliwa hakulelewa na wazazi wa kumzaa bali alikulia kwa shangazi yake jijini Mwanza, lakini alivyoendelea kukua, walezi wake walikuwa wanamuogopa kutokana na hali yake.
Alisema walezi wake hao walikuwa wakitafuta jinsi ya kupata fedha kwa ajili ya kumpeleka hospitali akatolewe jinsia ya kiume.

“Kabla ya kufanikisha zoezi hilo, mimi nilikimbia nikaja Dar kwa kuogopa labda wangenikamata wanikate kinguvu,” alisema.

ANATAKA CHA KIUME KIONDOLEWE
Alisema baada ya kutimba Dar, alisaka kazi ya kumpatia mkate wa siku na sasa amepata mfadhili atakayemsaidia kumpeleka hospitali kwa ajili ya kuondoa kiungo cha kiume kwa sababu anatamani siku moja aolewe.
Hata hivyo, Mary alisema mpenzi wake aliyemtaja kwa jina moja la Francis wapo kwenye uhusiano kwa muda mrefu huku wakiendelea kupeana mapenzi kama kawaida na ameridhika na hali yake.

Alisema endapo ikitokea kiungo cha kiume kinahitaji kufanya kazi, mpenzi wake huyo humchua hadi anarejea katika hali ya kawaida.
“Nikiamua naweza kumridhisha hata mwanamke, lakini huwa sitaki kuwa karibu nao,” alisema Mary na kuongeza:
“Napenda sana kampani ya wanaume, sina rafiki mwanamke hata mmoja. Pia akitokea mwanaume ananitongoza na mimi simtaki tunakubaliana, lakini tukifika huko ndiyo nambadilikia, hivyo wanaume wengi wananiogopa kutokana na hali niliyonayo.
“Nimezaliwa hivi, wanaume wengi wananiogopa na kuniona natisha au naweza kuwafanyizia.”

USHUHUDA
Kwa upande wake jamaa aliyewahi ‘kumtokea’ mwanadada huyo na kukubaliana kila kitu, ikashindikana kutoka na hali hiyo aliyetambulika kwa jina moja la Malick, aliliambia Risasi Mchanganyiko kuwa anachokisema Mary, yeye alikishuhudia kwa macho yake hivyo ni kweli kwa asilimia zote.
Malick alikiri mwili kumwishia ganzi baada ya kuiona hali ya mrembo huyo na kuamua kutoka nduki.
“Tulikubaliana vizuri lakini siku ya kufanya tendo, ndipo niliposhtuka kuona ana viungo viwili hivyo nikatoka nduki kwa kuogopa na hadi leo huwa namuogopa,” alisema Malick.
paperclip.png
Attached Thumbnails



Chanzo: WWW. GLOBALPUBLISHERS. INFO
 
sasa kinachokusumbua nn, kama ungekuwa na brother shoga sawa,

ila sista then ana uume, haina noma! muhimu mkaa chini mliongee akuweze wazi mengine yatakuwa siiiimple
 
Back
Top Bottom