Dada yangu anakaribia kuolewa na Tapeli, Nichukue hatua gani?

Ni ngumu kusoma upuuzi km huu. Tafuta kazi ya kufanya
 
Haina shida, siku ya sendofu ambayo hufanyika usiku mchomekeeni dege lisilolika, haya madege yapo mengi na yapo tayari kwa kazi hiyo mradi maokoto yaliyoboreshwa.
 
Usitake kukuza tatizo mwambie dada yako ukweli halisi akibisha muonyesho ile spying video uliyompiga jamaa akiserebuka.. baada ya hapa utakuwa huna lawama yoyote kuliko kumkaribisha Jasusi Bandia kwenye ukoo wenu...
 
Unataka kumsaidia single maza? Huyu shemeji yako anajua kutumia fursa maana anajua single maza ni wa kupiga na kutokomea kusikojulikana.
Acha huyo single maza ajifunze hakuna muoaji hapo.
 
Duuh, maisha ni safari Ishi upendavyo!
 
Usitake kukuza tatizo mwambie dada yako ukweli halisi akibisha muonyesho ile spying video uliyompiga jamaa akiserebuka.. baada ya hapa utakuwa huna lawama yoyote kuliko kumkaribisha Jasusi Bandia kwenye ukoo wenu...
Na mambo hayo,hayaishii hapo ataambukiza hadi wapwa!
 
Muache dada yako apate raha unachezea wauni wanasimamia kucha
 
let the nature take it's course
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…