Dada yangu anamcheat shemeji

Dada yangu anamcheat shemeji

Hello wana jf. Ni tumaini langu mpo good! Katika hali isiyo ya kawaida nimegundua dada yangu ana mahusiano ya kimapenzi na njemba nyingine pale nilipomfumania akitoka gesti naye bila yeye kuniona. Kinachoniumiza nashindwa kujua nimwambie shemeji wangu au nimwonye ccta kwani ni hatari sana. Jamani naomba ushauri wenu wa dhati,THANKS

Ongea na dada yako na kumuonya kwamba kitendo anachokifanya si kizuri, lakini usimwambie shemeji maana ikatokea ndoa kuvunjika basi anaweza kujenga uhasama nawe kwa miaka chungu nzima na hata ndugu wengine kukuchukia kwa kuwa chanzo cha kuvunja ndoa ya dada yako.

Last edited by a moderator:
Hello wana jf. Ni tumaini langu mpo good! Katika hali isiyo ya kawaida nimegundua dada yangu ana mahusiano ya kimapenzi na njemba nyingine pale nilipomfumania akitoka gesti naye bila yeye kuniona. Kinachoniumiza nashindwa kujua nimwambie shemeji wangu au nimwonye ccta kwani ni hatari sana. Jamani naomba ushauri wenu wa dhati,THANKS

mbona dada yako hapa mtaani anasema kuwa anafanya kazi kwenye hiyo guest house na siku hiyo ulipomwona alikuwa na shemegi yake alikuwa ametumwa nakaka kaka yake akamwite maana shemegi yako au mme wake aliugua ghafla na kukimbizwa hosp. na hali ilikuwa mbaya wakaogopa kumpigia simu maana wanapenda sana na mme wake angestuka sana?

Theme kila tunapomwona mwanaume na mwanamke huwa tunawaza ngono tu?
 
Hello wana jf. Ni tumaini langu mpo good! Katika hali isiyo ya kawaida nimegundua dada yangu ana mahusiano ya kimapenzi na njemba nyingine pale nilipomfumania akitoka gesti naye bila yeye kuniona. Kinachoniumiza nashindwa kujua nimwambie shemeji wangu au nimwonye ccta kwani ni hatari sana. Jamani naomba ushauri wenu wa dhati,THANKS

Muonye dadako ya kuwa hiyo tabia anayofanya si nzuri, na ina athari nyingi sana katika ndoa yake.
Usimuambie kwanza shemejio kwani waweza vunja ndoa ya dadayo
 
Kaka ukweli mchungu hamna asiyefanya siku hizi swala hapo ni kujificha sana. Utaukataa huu ukweli lakini ndivyo ilivyo watu wanakula hata wake za marais ije kuwa sisi wa mitaani???? mke wa rais ana watu wangapi wa kumlinda??? na mkeo anao wangapi wa kumlinda?? Hii lazima tuikubari tu no way out.

U-mzima kweli wewe? au waongea bila kufikiria?
 
Ikiwa unamtegemea kwa chochote kimaisha, kuwa mpole, La mpe live ataleta aibu mtaani na home kiujumla!
 
Hello wana jf. Ni tumaini langu mpo good! Katika hali isiyo ya kawaida nimegundua dada yangu ana mahusiano ya kimapenzi na njemba nyingine pale nilipomfumania akitoka gesti naye bila yeye kuniona. Kinachoniumiza nashindwa kujua nimwambie shemeji wangu au nimwonye ccta kwani ni hatari sana. Jamani naomba ushauri wenu wa dhati,THANKS
inaonesha nyie home nzima mko na kipaji cha kuvisit izo sleeping house loh!
haya umuambie wa nn sasa ukiona ivo ujue dada yako hapati mahaba ya dhati kwa huyo unaye muita shemeji yako...........mana kama ana hela unafikiri kafata nn hapo kwa njema ya outside ni wazi kafata mshedede........we kama vipi nyuta tu
 
Usinesemehe shemej kwa mume wake,cunajua yule me rafik yangu?...sema dada yako mtamu kinoma yoo...
 
inaonesha nyie home nzima mko na kipaji cha kuvisit izo sleeping house loh!
haya umuambie wa nn sasa ukiona ivo ujue dada yako hapati mahaba ya dhati kwa huyo unaye muita shemeji yako...........mana kama ana hela unafikiri kafata nn hapo kwa njema ya outside ni wazi kafata mshedede........we kama vipi nyuta tu

Me ndo nilikuwa na dada yake..baada ya mambo yetu yalee akaniambia jamaa yake hamridhishi..kaniambia kesho tena..Afu ela ya gest.i huwa analipaga yeye...Kapenda yoo yoo zangu..yoo
 
umeona wenzio wanasema "mia" nalog off" "unachekesha" mpwa" nawewe umeiga kila mwisho mwapost yako unaweka "yoo" hovyo sana!
 
Summary ya maoni na maelezo yaliyotolewa:
1. Kaa naye chini dada yako umfahamishe ulimwengu
2. Mwambie shemeji yako visa vya dadaako
3. Uchune na uwaachie mambo yao
Kwa sababu hiyo, ni wewe mwenye wa kuchagua na kuamua unaliliona ndio kwa faida ya nyote.
Lakini kama ungemkuta shemeji yako anamdanganya dadaako, ungechukua uamuzi gani?
 
mwambie shemeji yak kuwa dada yako malaya ampige chini atafute mwanamke mwingine huyo atamuuwa
 
Hello wana jf. Ni tumaini langu mpo good! Katika hali isiyo ya kawaida nimegundua dada yangu ana mahusiano ya kimapenzi na njemba nyingine pale nilipomfumania akitoka gesti naye bila yeye kuniona. Kinachoniumiza nashindwa kujua nimwambie shemeji wangu au nimwonye ccta kwani ni hatari sana. Jamani naomba ushauri wenu wa dhati,THANKS

Unamtakia nini dadako? Aliyeolewa ni yeye, wewe yanakuhusu nini anayofanya kwa raha zake? Ukimwambia shemejiyo akamwacha we utafaidika na nini? Acha hayakuhusu
 
nakupongeza kwa kuwa fair kwa dada na shemeji yako na si kama wale ambao wanashirikiana na ndugu kumkandamiza shemeji kwakuwa tu yeye si ndugu yenu.

endelea na moyo huo huo, mungu akubariki
 
Hello wana jf. Ni tumaini langu mpo good! Katika hali isiyo ya kawaida nimegundua dada yangu ana mahusiano ya kimapenzi na njemba nyingine pale nilipomfumania akitoka gesti naye bila yeye kuniona. Kinachoniumiza nashindwa kujua nimwambie shemeji wangu au nimwonye ccta kwani ni hatari sana. Jamani naomba ushauri wenu wa dhati,THANKS

mimi nadhani wewe kaa chini na dada yako.. umueleze... kwamba tabia afanyayo si nzuri..... na kama akiendelea utamwambia shemeji...
pia ifate hiyo njemba kaichimbie mkwara trust me it works .. mimi nilikuwa nikiwachimbia mkwara wanaume wote waliokuwa wakiwamendea sisters zangu wakiwa sekondari.. kama hatokuelewa chukua sheria mkononi...
 
Utampiga huyo njemba mkwara kama nani? That would blow things out of proportion unnecessarily
 
Back
Top Bottom