Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
samahani kwa kuchakachua,Madam T kumbe ndivyo ulivyo hivyo kwenye picha? Nalog offInawezekana kabisa shemeji yake ndio gwiji la kucheat.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
samahani kwa kuchakachua,Madam T kumbe ndivyo ulivyo hivyo kwenye picha? Nalog offInawezekana kabisa shemeji yake ndio gwiji la kucheat.
Hello wana jf. Ni tumaini langu mpo good! Katika hali isiyo ya kawaida nimegundua dada yangu ana mahusiano ya kimapenzi na njemba nyingine pale nilipomfumania akitoka gesti naye bila yeye kuniona. Kinachoniumiza nashindwa kujua nimwambie shemeji wangu au nimwonye ccta kwani ni hatari sana. Jamani naomba ushauri wenu wa dhati,THANKS

Kaka ukweli mchungu hamna asiyefanya siku hizi swala hapo ni kujificha sana. Utaukataa huu ukweli lakini ndivyo ilivyo watu wanakula hata wake za marais ije kuwa sisi wa mitaani???? mke wa rais ana watu wangapi wa kumlinda??? na mkeo anao wangapi wa kumlinda?? Hii lazima tuikubari tu no way out.
inaonesha nyie home nzima mko na kipaji cha kuvisit izo sleeping house loh!Hello wana jf. Ni tumaini langu mpo good! Katika hali isiyo ya kawaida nimegundua dada yangu ana mahusiano ya kimapenzi na njemba nyingine pale nilipomfumania akitoka gesti naye bila yeye kuniona. Kinachoniumiza nashindwa kujua nimwambie shemeji wangu au nimwonye ccta kwani ni hatari sana. Jamani naomba ushauri wenu wa dhati,THANKS
inaonesha nyie home nzima mko na kipaji cha kuvisit izo sleeping house loh!
haya umuambie wa nn sasa ukiona ivo ujue dada yako hapati mahaba ya dhati kwa huyo unaye muita shemeji yako...........mana kama ana hela unafikiri kafata nn hapo kwa njema ya outside ni wazi kafata mshedede........we kama vipi nyuta tu
Me ndo nilikuwa na dada yake..baada ya mambo yetu yalee akaniambia jamaa yake hamridhishi..kaniambia kesho tena..Afu ela ya gest.i huwa analipaga yeye...Kapenda yoo yoo zangu..yoo
umeona wenzio wanasema "mia" nalog off" "unachekesha" mpwa" nawewe umeiga kila mwisho mwapost yako unaweka "yoo" hovyo sana!
Hello wana jf. Ni tumaini langu mpo good! Katika hali isiyo ya kawaida nimegundua dada yangu ana mahusiano ya kimapenzi na njemba nyingine pale nilipomfumania akitoka gesti naye bila yeye kuniona. Kinachoniumiza nashindwa kujua nimwambie shemeji wangu au nimwonye ccta kwani ni hatari sana. Jamani naomba ushauri wenu wa dhati,THANKS
Hello wana jf. Ni tumaini langu mpo good! Katika hali isiyo ya kawaida nimegundua dada yangu ana mahusiano ya kimapenzi na njemba nyingine pale nilipomfumania akitoka gesti naye bila yeye kuniona. Kinachoniumiza nashindwa kujua nimwambie shemeji wangu au nimwonye ccta kwani ni hatari sana. Jamani naomba ushauri wenu wa dhati,THANKS
Kwa kuwa si dada yenu?........................hebu kuweni wakweli wa nafsi zenu
mimi nadhani wewe kaa chini na dada yako.. umueleze... kwamba tabia afanyayo si nzuri..... na kama akiendelea utamwambia shemeji...
pia ifate hiyo njemba kaichimbie mkwara trust me it works .. mimi nilikuwa nikiwachimbia mkwara wanaume wote waliokuwa wakiwamendea sisters zangu wakiwa sekondari.. kama hatokuelewa chukua sheria mkononi...
Utampiga huyo njemba mkwara kama nani? That would blow things out of proportion unnecessarily