Dada yangu anatishia kujiua, nishaurini tafadhari

Dada yangu anatishia kujiua, nishaurini tafadhari

Ni pm nikusaidie dada yako anashida tatizo lake ni la rohoni na usipochukua hatu za upesi hakika atajiua maana inatakiwa afe
 
ana matatizo makubwa matatu madeni,stress na ulevi hayo madeni ndiyo yanamletea stress akipata stree anaamua kunywa pombe kiukweli kwanza anahitaji kukubali kuwa ana tatizo akishakubali itakuwa rahisi kumsaidia pia inaelekea hana marafiki wazuri rafiki pekee aliyebaki ni wewe ndugu yake jaribu kuwaona wataalamu wa magonjwa ya akili ili wajue namna gani ya kumsaidia
Asante kwa ushauri wako mwema[emoji120]
 
ngoja kwanza nimsawazishie bmkubwa mambo hapa then ndo ntafanya huo mpango ila ni kmya kimya haambiwi mtu hapa wasije wakanivurugia mpango wangu
 
Hatsla yule aliyejiua kule Moshibkwa kufiwa na mama yake na kisha kupigia simu ndugu zak walioishia kumwambia kuwa anatishia, walimkuta kwenye kamba. Same kwa aliyejiua Dodoma kwa kufeli.Je bado una jeuri ya anatishia?
Nitachukua hatua mapema, maana nazidi kuogopa tu hapa
 
Tanzania inadaiwa Trilion 50+ na hawaja tishia kujiuwa!

Sasa huyo dada yako anadaiwa Milion 10 anachanganikiwa kiasi hicho!

Magufuli kabana hadi raia haijielewi

Haya ni maisha tu mkuu, usiombe kukutwa mbona utaomba pooo!
 
Mmh ngoja nisimlaumu sana kwenye matumizi ya mkopo
1. Apatikane ndugu Wa kumchukua Mtoto
2. Dada yako anahitaji counseling ya nguvu,anaweza kurudi normal
3. Na hizo plots mbili alizonunua zinaweza kutatua tatizo pia
Kweli umenena, asante kwa ushauri wako
 
Ana umri gan?
Ameolewa?
Anaishi na Nan zaid ya mtoto?
Anafanya kaz gan serikalini?
Zaidi ya mkopo unahisi ana tatzo gan jingine?
La mwisho msaidie kumpa hope ila kujiua hawez.... Mm ni mnyalukolo nina experience.
 
Mchukueni mtoto bila yeye kujua kachukuliwa na nani
 
Mi naona hiyo mill 10 haitishii sababu anakatwa kwenye mshahara na n mwajiriwa tatizo kinachomchanganya n hayo madeni ya nje na hizo pombe alizokuwa ananywesha wenzio duh ...kama upo mbali nae nenda mkaonane live umshauri ana kwa ana may b atakuelewa mwambie kuna watu wana matatizo zaidi yake narudia tena zaidi yake ye alirelax tu ...hata bibi yangu alikunywaga sumu sababu ya madeni ila alipona hadi Leo anadunda smtym matatizo yanaweza yakakufikisha mbali sana ..ila huyo kama vile kachanganyikiwa kutaka mkumchomea nyumba mwenzie huko tabata duh mpeleke akaombewe ...(japo najua atakataa) pole dia hizo n changamoto
Asante sana nitanyia kazi ushauri wako
 
Wewe Fanya hivi kamnunilie hiyo sumu kisha mpe mwambie tutakuja kufuata maiti kuzika ataacha vituko vyake huyo anafanya hivo anajua kuna mtu anaemjali
 
Back
Top Bottom