Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo mzigo kichwani kwangu hapana aiseAcha wivu Valentina!!
KwendraaaaDada yangu iko pendeza saaaana![emoji4]
Mmh styles nyingine hizi ni za kutishia watoto wasiopenda kula
Satanic style
Siku nyingine nzimakwenye kufumua je...!
Yaani huyu wakati wa kulala itabidi avae helmet ili nywele zisivurugike, hapo ni kulala tu, sijui wakati wa kulalwa itakuaje na kma yupo Dar na joto hili basi kazi kweli kweli.Huo mzigo kichwani kwangu hapana aise