Dada yangu Lady Jide nini kinakusumbua?

Nimeanza kuona kuwa heshima ya Jd ilitengenezwa na Gadner maana muda unavyozidi kwenda ndo naona graph ya heshima yake aliyojijengea inazidi kushuka ...
Mungu amsaidie kwa maana siwezi jua ni magumu yapi anapitia
 
Kabisa
 
bado yule msaidizi wa ndani wa zamani aliyewaita wanaume mariyoooo atazama kama gongo kwenye maji ya kina kirefu.
JD anaweza akajishusha akarudiana na wake sasa huyu
 
wacha kabisa! hapa mapenzi huwa zaidi ya tendo la ndoa ! mwanaume umeshikwa maskio unajifanya huoni sasa ngoja mwanamke aku underestimate mziki wake hatausahau maisha yake yote kwa kuwa mkosaji siku zote ni mwanamke.
mwanzo watasema waliachana siku zinavyokwenda anapogundua kosa alilofanya na kuwa mkorofi inasomeka kaachwa na baada ya hapo jamii itamuhukumu kwa kila kasoro wakiishia kwa sababu kaachwa!
 
Nimeanza kuona kuwa heshima ya Jd ilitengenezwa na Gadner maana muda unavyozidi kwenda ndo naona graph ya heshima yake aliyojijengea inazidi kushuka ...
Mungu amsaidie kwa maana siwezi jua ni magumu yapi anapitia
Alisema kuwa Gadna anakojoa upepo. Sasa na huyu mwanaume mpya, mbona kashindwa kumjaza mimba?
 
Kwa maneno hayo....... Sisi wahenga tunaweza kuyatafsiri kwamba, bado anampenda alie muacha. Na hakika kuachana kwao bado kunamuumiza wakati mbele ya jamii anajifanya hajali
Lile swali lilikuwa na kejeli na shombo...lilikuwa limebeba dongo kuwa Jide mbali ya talaka na kuolewa na bwana mwingine bado anajipeleka peleka kugongwa na Gadna.
Kitu kichafu sana.
Ningekuwa mimi ndo Jide jibu ambalo ningempa lingeweza niundia life ban hapa JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…