Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu maridhawa kabisa hilo.Ndio!Maana sidhani kama alijua kuwa aliyeuliza alikuwa katika kutaka kujua au anakejeli.
bado yule msaidizi wa ndani wa zamani aliyewaita wanaume mariyoooo atazama kama gongo kwenye maji ya kina kirefu.Nimeanza kuona kuwa heshima ya Jd ilitengenezwa na Gadner maana muda unavyozidi kwenda ndo naona graph ya heshima yake aliyojijengea inazidi kushuka ...
Mungu amsaidie kwa maana siwezi jua ni magumu yapi anapitia
Weka picha tuone[emoji57] [emoji57] [emoji34]Jibu maridhawa kabisa hilo.
Maana sie wengine tungetukana kabisa
bado yule msaidizi wa ndani wa zamani aliyewaita wanaume mariyoooo atazama kama gongo kwenye maji ya kina kirefu.
JD anaweza akajishusha akarudiana na wake sasa huyu
wacha kabisa! hapa mapenzi huwa zaidi ya tendo la ndoa ! mwanaume umeshikwa maskio unajifanya huoni sasa ngoja mwanamke aku underestimate mziki wake hatausahau maisha yake yote kwa kuwa mkosaji siku zote ni mwanamke.
View attachment 699566View attachment 699567Napata wasiwasi sana juu ya majibu ya huyu mwanadada ambaye alikuwa ni mfano wa kuigwa.
Alisema kuwa Gadna anakojoa upepo. Sasa na huyu mwanaume mpya, mbona kashindwa kumjaza mimba?Nimeanza kuona kuwa heshima ya Jd ilitengenezwa na Gadner maana muda unavyozidi kwenda ndo naona graph ya heshima yake aliyojijengea inazidi kushuka ...
Mungu amsaidie kwa maana siwezi jua ni magumu yapi anapitia
Huyo Gadna ana mtoto hata wa kusingiziwa?Alisema kuwa Gadna anakojoa upepo. Sasa na huyu mwanaume mpya, mbona kashindwa kumjaza mimba?
Lile swali lilikuwa na kejeli na shombo...lilikuwa limebeba dongo kuwa Jide mbali ya talaka na kuolewa na bwana mwingine bado anajipeleka peleka kugongwa na Gadna.Kwa maneno hayo....... Sisi wahenga tunaweza kuyatafsiri kwamba, bado anampenda alie muacha. Na hakika kuachana kwao bado kunamuumiza wakati mbele ya jamii anajifanya hajali