Dada yangu Lady Jide nini kinakusumbua?

Kakojozwa sana jamani ...................................................
 
Kwa Yeyote mwenye mawasiliano jamani natangaza ndoa. Nampenda Lady Jaydee
 
mapenzi hayaeleweki kabisa jamaa kambeba mkewe (house girl) mtaani kuonyesha mapenzi baadae kaja kutangazwa kuwa ni marioo hata chupi hawezi kununua. Kwenye kumridhisha mwanamke ni kugumu kama ngamia (Kamba ya mashua) kupenya katika tundu la sindano
 
jibu alilotoa Jide ni jibu muafaka kwa wakati muafaka. Na nia ya muulizaji alishaijua kuwa ata screen shot jibu na kuliweka sebuleni ndio maana limefika mpk huku sebuleni JF. Jide ni akili kubwa
 
jibu alilotoa Jide ni jibu muafaka kwa wakati muafaka. Na nia ya muulizaji alishaijua kuwa ata screen shot jibu na kuliweka sebuleni ndio maana limefika mpk huku sebuleni JF. Jide ni akili kubwa
Jide ni akili ndogo kwa sababu kama angejibu kwa busara mjadala ungeishia palepale Twitter.Nahisi alitafuta kick kupitia jibu lake.
 
Nae alimuuliza hilo swal kinafiki tu asa yy amtembelee gadna wakat waliachan vibaya kwa ugomvi na talaka asa amtembelee ili kwan kazaa nae ameyata ko amekoma tu
 
Kioo cha Jamii ndo hakina moyo.... Swali gani lile la kumuuliza mtu huku anatambua hakuzaa nae.... Sasa aende kumuona Kwanini? Muuliza swali ajifunze kuwa na busara siku nyingine.... Huo ni uchokozi
 
Ni stress tu za kukosa mtoto,ana kila kitu lakini mtoto hana,kwa sasa anajuta kwa wale viumbe aliowatupa chooni enzi za usichana
Angalia mdomo usiponze kichwa..... Au Labda kama una ushahidi wa ulicho kiandika ......Malipo ni hapa hapa..... Kuna walokua na watoto lkn gafla ndani ya dakika famiia imepuputika. Hujafa hujaumbika
 
Mh!Naona kila mtu ana jibu lake.Nadhani jibu la ukweli analo muhusika.Ngoja nijaribu kumtafuta nimuulize.
 
Angalia mdomo usiponze kichwa..... Au Labda kama una ushahidi wa ulicho kiandika ......Malipo ni hapa hapa..... Kuna walokua na watoto lkn gafla ndani ya dakika famiia imepuputika. Hujafa hujaumbika
Kuwa na watoto na kukuputika ni suala lingine,lakini kukosa watoto kwa ajili ya kutoa mimba ujanani ni suala linalouma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…