Ndondobwila
JF-Expert Member
- Jun 9, 2015
- 562
- 407
Kakojozwa sana jamani ...................................................
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mapenzi hayaeleweki kabisa jamaa kambeba mkewe (house girl) mtaani kuonyesha mapenzi baadae kaja kutangazwa kuwa ni marioo hata chupi hawezi kununua. Kwenye kumridhisha mwanamke ni kugumu kama ngamia (Kamba ya mashua) kupenya katika tundu la sindano
Mleta mada ....ni hayawaniiiiNapata wasi wasi zaid na wew...Ulitaka ajibuje?
Jide ni akili ndogo kwa sababu kama angejibu kwa busara mjadala ungeishia palepale Twitter.Nahisi alitafuta kick kupitia jibu lake.jibu alilotoa Jide ni jibu muafaka kwa wakati muafaka. Na nia ya muulizaji alishaijua kuwa ata screen shot jibu na kuliweka sebuleni ndio maana limefika mpk huku sebuleni JF. Jide ni akili kubwa
Muuliza swali alikua na makusudi gani kama sio kumtafutia lawama mdada wa watu???
Kioo cha Jamii ndo hakina moyo.... Swali gani lile la kumuuliza mtu huku anatambua hakuzaa nae.... Sasa aende kumuona Kwanini? Muuliza swali ajifunze kuwa na busara siku nyingine.... Huo ni uchokoziTambua kuwa Jide ni kioo cha jamii na huyo jamaa ni shabiki.Jide anatakiwa awe na majibu yanayoweza kufanya watu wamuone ni kioo.Huyo anaweza akawa si shabiki lakini jibu lenye busara likamfanya abadili mawazo na kuwa number one fan.Na huenda jamaa anatamani kuona siku moja Jide na Gadna wanakuwa pamoja tena.
Angalia mdomo usiponze kichwa..... Au Labda kama una ushahidi wa ulicho kiandika ......Malipo ni hapa hapa..... Kuna walokua na watoto lkn gafla ndani ya dakika famiia imepuputika. Hujafa hujaumbikaNi stress tu za kukosa mtoto,ana kila kitu lakini mtoto hana,kwa sasa anajuta kwa wale viumbe aliowatupa chooni enzi za usichana
Why..?Ila huyu dada anajikutaga Michelle obama
Basi tu anajionaga High class... tazama majibu anayojibuWhy..?
Aisee haya poa...Basi tu anajionaga High class... tazama majibu anayojibu
Kuwa na watoto na kukuputika ni suala lingine,lakini kukosa watoto kwa ajili ya kutoa mimba ujanani ni suala linalouma sanaAngalia mdomo usiponze kichwa..... Au Labda kama una ushahidi wa ulicho kiandika ......Malipo ni hapa hapa..... Kuna walokua na watoto lkn gafla ndani ya dakika famiia imepuputika. Hujafa hujaumbika
Ulimtoa wewe.... Chunga mdomo wako kwa manufaa ya kizazi chakoKuwa na watoto na kukuputika ni suala lingine,lakini kukosa watoto kwa ajili ya kutoa mimba ujanani ni suala linalouma sana
Na kamjibu inavyotakiwa kawaida tuMbona kamjibu poa huyo kidudumtu..
Hilo jibu lina nini kwani