:target: Jamani nyuchi hazina shombo, Sister mwambie dadiyo agawe mzigo achukue gari na box + udongo tani sita. Jamani haina shombo hiyo na jamaa tachovya mara moja tu; tatizo umeme una voltage na current kubwa kwa kila hali hivyo kuikwepa ni muhali.
Sijui kama tutafiaka lakini Lazima tufike tukiwa hai au wafu. Wake zetu na mali kama mbwa na chatu.