bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,873
Eeeeeeeeeee Mungu eeeh!:angry:
kutaka makubwa usoyaweza....
bora kuwa maskini jeuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeeeeeeeee Mungu eeeh!:angry:
kutaka makubwa usoyaweza....
bora kuwa maskini jeuri
Ni jana tu kanisimulia alianza kwa kumpa safari za kila mara, akamuongezea bonus zake, short cause kwake hazikauki dada akawa haelewi kuna nini. Mwisho wa yote akamtamkia live na akamwambia anampenda na wala acwe na haraka yakujibu aende akafikiri akiwa tayari atamuambia jana akanunuliwa gari na amekabidhiwa ufunguo na kadi yake, dada yangu ameolewa na ana familia nzuri ya watoto 2 na mume wake anafanya kazi ya kwaida tu ya kuajiliwa ktk kampuni binafsi, ila kwa muda mfupi maisha yamependeza. wana JF nisaidie nimshauri vp? huyu dada yangu? yuko njia panda ndoa anaipenda na anampenda mume wake ila boss anawawezesha
mi nashangaa watu wanaomba ushauri kwa vitu ambavyo viko wazi! tukimshauri amkubalie huyo bosi, maisha yenyewe mafupi kula raha kwa kwenda mbele, atakuwa tayari wakati kishaingia mkataba wa kudumu na mwingine? mi naona jibu analo kwani ye anajua jema na baya.
Na TIGO katoa........
Ni jana tu kanisimulia alianza kwa kumpa safari za kila mara, akamuongezea bonus zake, short cause kwake hazikauki dada akawa haelewi kuna nini. Mwisho wa yote akamtamkia live na akamwambia anampenda na wala acwe na haraka yakujibu aende akafikiri akiwa tayari atamuambia jana akanunuliwa gari na amekabidhiwa ufunguo na kadi yake, dada yangu ameolewa na ana familia nzuri ya watoto 2 na mume wake anafanya kazi ya kwaida tu ya kuajiliwa ktk kampuni binafsi, ila kwa muda mfupi maisha yamependeza. wana JF nisaidie nimshauri vp? huyu dada yangu? yuko njia panda ndoa anaipenda na anampenda mume wake ila boss anawawezesha
Jamaa katumia nguvu za kutosha na hakua na papara. Maana dadako kafikia pahala pakuomba ushauri maanake yuko njiapanda kwenye maamuzi ambayo yangetakiwa yawe obvious. Ushauri ampe tu amege japo mara moja inaonekana atampendezeshea masurufu zaidi
Kama ameshamegwa mi namshauri achukue mkoko familia yake inufaike na matunda ya mama kuchojolewa.
Hainiingii kichwani kafanyiwa yooooote hayo halafu hajawahi kuvua ch'upi. Mi naona kinachomsumbua hapo ni kuwa akilikubali hilo gari atamwambia nini mumewe?
Kama kashalikubali gari,funguo na kadi(ambayo inaweza kuwa feki) ina mana kanasa kwenye mtego..atakuwaje njia panda kama anampenda mumewe na familia?vishawishi havikosekani ila kama unawezesha mazingira ya vishawishi ni ngumu kuviepuka..
kazi anayo..namshauri asitose famila..Mungu amlinde pia kwenye maamuzi yake!