Dada yangu na boss wake

mi nashangaa watu wanaomba ushauri kwa vitu ambavyo viko wazi! tukimshauri amkubalie huyo bosi, maisha yenyewe mafupi kula raha kwa kwenda mbele, atakuwa tayari wakati kishaingia mkataba wa kudumu na mwingine? mi naona jibu analo kwani ye anajua jema na baya.
 
kutaka makubwa usoyaweza....
bora kuwa maskini jeuri

Si ndo hapo bht; ona jinamizi linalomsakama sasa; unaweza kupata matatizo ya akili kwa kujitakia!

Laana gani ya kujichumia mwenyewe hii?
 

It is not worth it, aridhike na maisha yake na atulie na familia yake. Asikubali vizawadi nje ya kazi, if she gets fringe benefits on merit that is fine. It is not worth it, period.
 
waifu wangu anaye rafiki yake mmoja mwanamke mwenzie, alimaliza Arusha institute of accountancy sijui, yule dada katafuta kazi hadi amechoka, umri wake ni miaka kama 35 kwasasa. amekuja kupata juzi hapa. cha ajabu ni kwamba, wanawake maklassmate wenzie wote walikuwa wamepata kazi, mmoja alipata kazi kipindi cha yule jamaa wa BOT mwenye kesi ya ubadhilifu wa majengo ya twin towers, wenzie walihongwa love4 kila mtu, lakini hauwezi amini sasahivi anaiuza ile lave4 ili apate walau hela ya kununulia matunda, mayai na vyakula bora kwasababu tayari anaishi kwa matumaini, this is not a story, ni ukweli,.....i don't mean kwamba yule jamaa ndo ana ukimwi, ila labda alipata kwengine tu hilo hatujui...msichana mwenye umri wa miaka hata arobaini hajafika, hata maisha hajayala, anaenda kufariki kwasababu ya kazi na love4...think about that......hii ndo inayomnyemelea huyo mdada. pili, shetani lazima atakuja kumlengesha tu kwa mumewe, na kama ni muhehe, either atajinyonga huyo mwanaume amtengenezee historia mbaya ya ndoa, au atamcharanga mapanga kwa kigari hicho tu. ni dhambi kubwa sana kutoka nje ya ndoa, mimi ni mwanaume, lakini nachukia sana mtu anayetoka nje ya ndoa....ridhikeni na wake zeu au waume zenu wajameni...dunia hii ya hivyohivyo, hata upewe nini hautaridhika, bado utataka vinyi, na zaidi ya yote, utajiri na heshima vyatoka kwa Mungu, hauwezijua kama angeamua kukataa kutochukua iyo gari hata kama angefukuzwa kazi, pengine Mungu alikuwa ameandaa mazingira ya yeye kuendesha mashangingi na kuwa na majumba masaki ambayo Mungu angempa....mwogopeni Mungu, mwogopeni Mungu, mwogopeni Mungu. mwenye sikio la kusikilia na asikie!
 
Kama kweli alikua hajui yataishia ivi na hajamkubali, aende kwa mumewe aseme ukweli, washauriane na mume wake kifuatacho ni nini,,ASAP:A S clock:
 

REMY umenena Mpenzi maneno ya ukweli ayo
 
DADA namshauri uyo ndugu yakooooo, ikiwezekana aache iyo
kazi maana amna kazi tena apo bali ahera yamngoja,ingekua hana ndoa
sawa ningemshauri ata kama angemkubali basi na asimpe unyumba
mpaka vipimo vitake plase sisi wanaume wenye kajiuwezo kidogo ni wabaya sanaaaaa:angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry:
 
Jamaa katumia nguvu za kutosha na hakua na papara. Maana dadako kafikia pahala pakuomba ushauri maanake yuko njiapanda kwenye maamuzi ambayo yangetakiwa yawe obvious. Ushauri ampe tu amege japo mara moja inaonekana atampendezeshea masurufu zaidi
 
huyo anatafuta jinsi ya kuhalalisha majambo yake..
Si ajabu ashamegwa
Achague ndoa au mkwanja+majambo
 

Kama kashalikubali gari,funguo na kadi(ambayo inaweza kuwa feki) ina mana kanasa kwenye mtego..atakuwaje njia panda kama anampenda mumewe na familia?vishawishi havikosekani ila kama unawezesha mazingira ya vishawishi ni ngumu kuviepuka..
kazi anayo..namshauri asitose famila..Mungu amlinde pia kwenye maamuzi yake!
 
Jamaa katumia nguvu za kutosha na hakua na papara. Maana dadako kafikia pahala pakuomba ushauri maanake yuko njiapanda kwenye maamuzi ambayo yangetakiwa yawe obvious. Ushauri ampe tu amege japo mara moja inaonekana atampendezeshea masurufu zaidi

ongeza na kumuwezeshea sherehe nzurii zaidi ya maziko! Aah watu siku hizi mnaarange mpaka funeral zenu wenyewe kama hivi! Kweli tumeendelea sana!
 

Huyo tayari kashavuliwa chupi siku nyingi tu ila hilo la kununuliwa gari ndilo limemfanya aombe ushauri...Mwanaume gani zuzu kiasi hicho mji huu wa kuhonga mwanamke gari kabla hajamla?
 

Sijaelewa! Kwani huyo bosi kasema kwamba anataka huyo dada aachane na mumewe? Bosi si anataka kumega tunda halafu basi. Ila kwa hiyo misaada ya bonus na magari huyo dada atakuwa mtumwa wa penzi la huyo bosi.
 
maskini mume wa mtuuu...yani mkeo anatongozwa na (possibly keshaliwa) boss wake mpaka kampa gari wewe umekaa tuu??...na mie navyojua wanaume tulivyo...mke wa mtu ndio wakumfanyia mazoezi yoooote...mara umle kisamvu cha kopo mara umle tigo mara umgalagaze utakavyo ilimradi kwako ni gunia la mazoezi ya ngono zembe...MUNGU TUSAMEHE WANAUME HATUJUI TUTENDAYO.
 
mwambi dada yako aache tamaa na aridhike na hali yake. gari hilo kama kalikubali basi akili hazimtoshi
 
Mshauri dada yanko asiwe na tamaa. Mali na ndoa ni vitu viwili tofauti kabisa. Achunge ndoa yake vinginevyo Mungu atamlaani. Arudishe funguo na vitu vingine alivyopewa na huyo bosi wake, awe tayari hata kuikosa hiyo kazi kuliko kumsaliti mumewe.
 
Huyo mama ana mataizo makubwa na ni msaliti wa ndoa yake na watoto wake mwenyewe. Keshaingia kwenye contract kwa kupokea gari then ndo anaomba ushauri, ebo! Kaniudhi kwelikweli. Inanikumbusha ule msemo : TAMAA MBELE, MAUTI NYUMA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…