Dada yetu anaishi na Virusi vya UKIMWI, tumwambie ukweli mchumba wake?

Zungumza na Dada yako Kama kweli ameokoka hawezi Fanya hivyo huko ni ulokole fake
 
Hakuna mlokole dunia hii ni usanii tu. maisha yakikupiga kwa namna moja ama nyingine, unajidai umeokoka
 



Nakueleza kutoka moyoni. Unashiriki kumuangamiza (kumuua/kumtesa) binaadamu mwenzio ambaye hana nia mbaya na nyie. Ungejisikiaje yeye ndo amemfanyia dada yenu.

Hata kama sio jukumu lako kumueleza. Onyesha kwa ndugu zako (familia) kuwa hujapenda hiyo isu, kwa kujiengua katika hili. Ikiwezekana hilo la nyumbani kwako kuwa ndio kama mzazi liwe la kwanza.


Nakuhakikishia hili litakusumbua (haunt) maisha yako yote.

I will never do search a thing.

Learn to stand alone, standing alone for the truth. Just know God is with you coz you're doing the right thing.
 
Dah watu wana roho mbaya sana. Tunauana hivi hivi!!!!!!!!!!!. _nn zake na wote wanaomsapoti.
 
Da Asia unampotosha mwenzako hivi hivi, live kabisa.
- Eti vvu sio issue kama diabetes/cancer kwa hiyo aache kiherehere.
- Eti hayo ni maisha yao kwa hiyo awaache nae aishi kivyake.
Please, acha kupotosha umma na wale wenye uelewa mdogo.
 
Last edited by a moderator:
God forbade!!!! hii Ulaya huyo mwanamke angeshapata kesi-hii ni jaribio la kuua
 
Da Asia unampotosha mwenzako hivi hivi, live kabisa.
- Eti vvu sio issue kama diabetes/cancer kwa hiyo aache kiherehere.
- Eti hayo ni maisha yao kwa hiyo awaache nae aishi kivyake.
Please, acha kupotosha umma na wale wenye uelewa mdogo.



Ukute ndo wale wale. Huu ugonjwa sio tu mbaya kimwili pia kiakili. Stress haziishi. Yuko dada anao kwa miaka 21 sasa. Ingawa anauwezo wa kunywa dawa nzuri lakini huwa ni mtu ambaye hana raha. Ipo siku tu dawa zitakataa. Hakuna mwenye vvu aliyeishi 40 yrs.

Kuweni na huruma. Hili laweza hit ndani ya nyumba yako. Ndo utalielewa.

Loh. God forbid this sin.
 
Last edited by a moderator:
Sijampotosha soma vizuri comments zangu. kama anaona ni vyema mchumba akajua, basi wa kusema ni dada yake na si yeye kama kama. ajaribu kum convince dada yake aweze kuongea na mchumba wake kuhusu status yake kama uwezo huo anao. kama dada hataki, basi akae mbali. kua na ukimwi haimaanishi unakufa kesho. dunia ya leo asojua ukimwi ni nani. watu walipanic siku za nyuma valikua hawaujua vizuri. sasa hivi hata wenye virusi wanazaa tena very healthy kids kupita wewe unayejiona una afya njema.
Da Asia unampotosha mwenzako hivi hivi, live kabisa.
- Eti vvu sio issue kama diabetes/cancer kwa hiyo aache kiherehere.
- Eti hayo ni maisha yao kwa hiyo awaache nae aishi kivyake.
Please, acha kupotosha umma na wale wenye uelewa mdogo.
 
Mamsapu, nimekupenda bure... :A S 11:
 
Fuatilia kama hawajavuana chupi umwambie bhana.

Umeongea point: nawajua walokole flani wa kiume na kike tulisoma nao, walianza kupendana sana, hadi kutaka kuchumbiana. Sasa kuna walokole wenzao hapo dalasani wakaona wamkanye binti apime kwanza, Maana huyo mpendwa wa kiume alikua na mahusiano na watu wengi wengi. Dada kumbe inasemekana alikua ameshavuana kyupi, yule dada alichanganyikiwa hadi hakumaliza shule.
 
...kama huyo dada yako kweli ameokoka kwa maneno na matendo athibitishe hapo kwa kumuokoa huyo mwenzake.Ila kama ameokoka kwenye makaratasi,analilia ndoa na yeye aje kua na familia yake, then yupo tayari kumuangamiza mwenzake..
Hao ndio walokole wetu wa siku hizi..!!
#.com!
 

kwa ushauri huu UKIMWI HAUTAKAA UISHE!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…