Dada yetu Sylvia Mulinge alikwepa mtiti kwa kuzuiwa kuwa mkurugenzi Voda Tanzania

Dada yetu Sylvia Mulinge alikwepa mtiti kwa kuzuiwa kuwa mkurugenzi Voda Tanzania

Huyo ni mpumbavu hajielewi, yaani Magufuli ajue tunawategemea kwa 30% halafu awe anawatukana kila siku? 🤔

Misaada wanayotoa kwenye budget yetu ni almost nothing hata 4% haifiki.
Hizi mboyoyo sabab ya maguphobia, hawaelewi tabia za kiswahili hawa
 
Mtapigwa sanctions kama Sudan ndio mfyate midomo zenu kubwa. Mtashindwa hata kuomba loan ya miradi yenu. Wakati bei ya mkate na unga utaanza kupanda kama ulivyofanyika Sudan ndio mtajua athari ya sanctions. Kwa sasa mjipige tu kifua. Ulizeni Zimbabwe sanctions zina athari gani.
Waache waropoke kama wamekalia kijiti ila tuombe tusikutane na hio mambo hamna rangi tutaacha kuona.
 
Haiya nilijua bajeti yao hutegemea msaada wa mabeberu kwa asilimia 10% uuuiiii kumbe 30%, hizo nyingi sana...... sijui hawa hukwama wapi kwa kweli, itawachukua muda sana kuwa huru maana hapo tayari hata bila vikwazo vya mabeberu, tayari wameshajiongezea mateso ya CCM kwa miaka mingine mitano.
Upo sahihi mimi ndio nilikuwa nimekosea. Kwa sasa aid wanayopokea ni less than 10% lakini sio kwa sababu wao wamekataa aid bali ni kwa sababu wazungu wamekataa kuwapa loan na aid kwa sababu ya udikteta wa Magufuli.

Lakini bado nchi hiyo inapokea loan kutoka benki za nje. Hio ikizuiliwa basi watakuwa mashakani. Sikujua kuwa Wazungu walikuwa wameshaanza kufunga mfereji wa misaada kuanzia 2018? Soma hii article imenifumbua macho. Kwa mfano world bank walikataa kuwapa loan ya $300 million kwenye sekta ya elimu kwa sababu ya matamshi ya magufuli kuwa wasichana waliopata mimba wasirudi shuleni. Wakae nyumbani.

Imagine 30 billion pesa ya Kenya wamenyimwa kwa sababu ya matamshi ya Magufuli

Upo sahihi mimi ndio nilikuwa nimekosea. Kwa sasa aid wanayopokea ni less than 10% lakini sio kwa sababu wao wamekataa aid bali ni kwa sababu wazungu wamekataa kuwapa loan na aid kwa sababu ya udikteta wa Magufuli. Lakini bado nchi hiyo inapokea loan kutoka benki za nje. Hio ikizuiliwa basi watakuwa mashakani. Sikujua kuwa Wazungu walikuwa wameshaanza kufunga mfereji wa misaada kuanzia 2018? Soma hii article imenifumbua macho. Kwa mfano world bank walikataa kuwapa loan ya $300 million kwenye sekta ya elimu kwa sababu ya matamshi ya magufuli kuwa wasichana waliopata mimba wasirudi shuleni. Wakae nyumbani.
Imagine 30 billion pesa ya Kenya wamenyimwa kwa sababu ya matamshi ya Magufuli

Huo ni uongo. Hela imeshatoka, Zito alijaribu kuloga lkn wapi? Hela ilitoka.
 
Hizo loans kukataliwa ndio imefanya uchumi wa Sudan to grind to a halt. World bank, Imf, European Investment bank, US banks even AFDB ambayo US ni shareholder zitakataa kuwapea loan. Nchi za Africa ni masikini zote, hakuna nchi inaweza survive bila hizo loans na for a poor country like Tanzania, they can't survive without foreign aid which makes up 30% of their budget. If they cannot get foreign aid and they cannot borrow loans and we know their tax collection is less than half of KRA's tax collection then this country will grind to a halt. Hizo miradi mikubwa mikubwa zitasimama.
Yani ww u think u know a lot, kumbe hujui kitu, endelea kubwabwaja, ati we can't survive without their loans, says a nobody nyang'au from Nairobi. Bure kabisa
 
Weka evidence kwamba benki ya dunia ilitoa hio pesa
Mkopo ulishaachiwa siku nyingi ila kutokana na wanasiasa kusema hizo pesa zingetumika na CCM kwenye uchaguzi WB walisema wataziachia baada ya uchaguzi so anytime from now $ million 500 zinaingia ndani

Hii package ni hatari, yaani elimu ya Tanzania itakua next level sababu kutajengwa shule za kisasa kama ulaya nchi nzima zenye kila standard na nyingi zitakuwa well equipped na dormitories juu yaani yajayo yanafurahisha

Sasa Hilda Newton ndio nani? Si uweke evidence ya maana. Leta article ya habari
 
Mtapigwa sanctions kama Sudan ndio mfyate midomo zenu kubwa. Mtashindwa hata kuomba loan ya miradi yenu. Wakati bei ya mkate na unga utaanza kupanda kama ulivyofanyika Sudan ndio mtajua athari ya sanctions. Kwa sasa mjipige tu kifua. Ulizeni Zimbabwe sanctions zina athari gani.
Huwezi iwekea vikwazo nchi inayozalisha dhahabu.. Gold is God's money.. Kwa vyovyote vile nchi itakuwa tu na uwezo wa kupata fedha za kigeni kwa kubadilisha na dhahabu.. Tz ni nchi nzito sana.. Huwezi kuifananisha na mataifa madogo kama Kenya ambayo hayana muscles za ku flex!
 
Hivi nataka niize nipewe jibu simple. Hivi why wakenya wanaichukia sana TZ. Comments zao zipo too negative.
Why!?
 
Hivi nataka niize nipewe jibu simple. Hivi why wakenya wanaichukia sana TZ. Comments zao zipo too negative.
Why!?
Wewe umewahi kusoma comments za Watanzania kuhusu Kenya? Mnatuita Wakunya. Mnatuita nyang'au. Mnatuita failed state. Mnasema uchumi wetu ni wa kwenye makaratasi. Mnasema eti tunakufa njaa. Mnasema eti kila Mkenya hapa JF anaishi Kibera. Mnasema eti mnatulisha, kwanza wazimu fulani anaitwa Naton Jr huwa anasema eti Kenya inaagiza 90% ya chakula chake kutoka Tanzania. Baada ya matusi yote haya bado ulikuwa unategemea tutaendelea kucheka na nyinyi?
 
Kumbe world bank pia wanaweza crack under pressure? Ama waliona kuwa wakiwanyima loan mtakimbilia Uchina na watapoteza biashara? Unajua wazungu ni wanafiki sana. Sasa kwa nini walikataa kutoa mkopo eti kwa sababu JPM kakataza wasichana wenye mimba kurudi shuleni kama sasa wanarelease loan kabla ya JPM kubadilisha msimamo wake? Hao pia hawako serious
 
Haha kwani uongo? Ni ukweli mtupu
 
Na tena hapo wametuongezea pesa sababu awali tuliwaomba mkopo wa 300 million tu lakini kutokana na mkopo kuwa na kelele nyingi ikabidi wenyewe watii na kutoa $500 million

Screenshot_20201102-052912~2.png
 
Kwa hivyo mtaendelea kuwa kichwa ngumu kwa sababu mabeberu wanatii?

Tanzania hawajafanya makubwa kama ambayo huwa tunasoma kutoka mataifa mengine, wizi wa kura sio issue kubwa sana maana hata Marekani ipo.

Pia uwoga wa Watanzania unasaidia sana maana hawajitokezi wapambane na mapolisi, hiyo ndio husababisha maafa na kufanya nchi itiwe kwenye darubini, hawa huwa wameufyata na kupiga makelele kwenye mitandao wakitumia fake IDs, sasa hapo nchi inatamalaki kwenye amani na utulivu, yaani labda Magufuli awahurumie tu la sivyo upinzani umeisha kwao.
 
Ni kweli. Nimeona hata hizo sanctions hawatapigwa.
 
Duh

Brother,upo humu JF kwa kutumia VPN as we speak!

Upo hapa kutetea serikali iliyozuia internet ambapo umeenda arms and legs length kutumia VPN kuingia humu kuitetea iendelee kuzuia internet?

Hii inaitwa Stockholm syndrome, yaani ume-fall in love na your oppressor!

What an irony!
Watanzania mnatumia VPN kuingia JF?
 
Back
Top Bottom