Dada zangu hii style ya mapenzi ni hatari, unaweza muua mpenzi/mumeo kwa raha

Dada zangu hii style ya mapenzi ni hatari, unaweza muua mpenzi/mumeo kwa raha

kuna dada mmoja alikuwa anasimulia anasema kuna style ya mapenzi ambayo ni balaa..hii inawezekana kwa wale wadada ambao hawana uzito mkubwa sana.

anasema namnukuu " mwanamke unatakiwa usiwe na uzito wa ng'ombe.uwe na uzito wako wa wastani wa mbuzi au kondoo. unapokuwa na mtu mpenzi wako chumbani kwake au kwenu basi kuwe na feni ile ya juu. then bint unaweza shika mapanga mawili ya ile feni au kama ipo juu sana basi unafunga kamba ambayo unakuja ishika huku chini. wakati huo mpenzi wako anakuwa amelala chali. yupo standby.

basi mpenzi wako anaenda kuwasha feni kwa speed ya kawaida tu hasa namba moja na mbili. ile feni inapozunguka basi nawe mwanamke unazunguka then jamaa anafanya timing anaingiza anasema hapo feni inakuwa imesha gain momentum..so unazunguka huku machine ikiwa ndani kwa speed ya ile pangaboi"

anasema hapo mwanaume anaweza maliza double double hata mara 5 maana ni balaa...joto analopata na wewe mwanamke unalopata mnaweza jikuta siku hiyo hamtoki ndani. nilishangaa sana ubunifu huu wa waafrika hasa dada zetu kipindi hiki ambacho inasemekana kuna ukata.basi nao hawajabaki nyuma. najiuliza hivi hii mtu unaweza jaribu ukabaki salama?fikiria ile feni inavyozunguka halaf ndo iwe imefungashiwa kwenye mashine yako mwanaume....

View attachment 616723
akili zeroo hauwez endelea ukiwa na akili kama hiz2018
 
Vitu vingine sijui mnataka mgundue nini

Sasa hapo huyo mwanamke anazungukaje kwa spidi ya feni?
Huyo mwanamke hata kama ni kimbaumbau ana uzito mdogo kiasi cha kuwa supported na ceiling fan?
Hii ni stori zaidi kuliko uhalisia.
 
Hahahaa aisee kuna watu viazi humu duniani yan wanafikir feni ni upanga Wa elcopta
 
Ha ha haaaa akyamungu w'wake tutakufa sasa, kisa cha kujining'iniza kwenye feni hvyo ni nini?! Nikatwe na mapanga je!? Teh teh
 
Back
Top Bottom