Dada zangu hii style ya mapenzi ni hatari, unaweza muua mpenzi/mumeo kwa raha

Dada zangu hii style ya mapenzi ni hatari, unaweza muua mpenzi/mumeo kwa raha

Hadithi kama kitabu cha kusadikika cha shaban Robert au wwe don't try this on ur bed hivi kg 50 au 60 zifungwe kwny fan labda huyo mwanamke ana hama ya kuonana na malaika live
 
Watu huwa wanawaza mambo mengi sana mengine ni yaajabu sana ukifanikiwa kujua watu wanachowaza unaweza kustaajabu sana
Lakini sio mbaya huyu jamaa inavyoonekana alikuwa amelala chali akaona feni akapata hiyo idea ikabidi atushirikishe
Kila kitu nadhani huanzia na mawazo na hata mambo mazuri hutokea hukohuko
 
Nacheka kama mazuri. Siku zote mapenzi ni starehe bana sasa pale watu wanapoigeuza ni kama adhabu huwa nashindwa kushangaa.

Na pia najiuliza joto hilo ni la dunia gani ambalo kwa style za kawaida halipatikani. Mimi hiyo raha wacha nisiipate tu kwa kweli.
[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
kuna dada mmoja alikuwa anasimulia anasema kuna style ya mapenzi ambayo ni balaa..hii inawezekana kwa wale wadada ambao hawana uzito mkubwa sana.

anasema namnukuu " mwanamke unatakiwa usiwe na uzito wa ng'ombe.uwe na uzito wako wa wastani wa mbuzi au kondoo. unapokuwa na mtu mpenzi wako chumbani kwake au kwenu basi kuwe na feni ile ya juu. then bint unaweza shika mapanga mawili ya ile feni au kama ipo juu sana basi unafunga kamba ambayo unakuja ishika huku chini. wakati huo mpenzi wako anakuwa amelala chali. yupo standby.

basi mpenzi wako anaenda kuwasha feni kwa speed ya kawaida tu hasa namba moja na mbili. ile feni inapozunguka basi nawe mwanamke unazunguka then jamaa anafanya timing anaingiza anasema hapo feni inakuwa imesha gain momentum..so unazunguka huku machine ikiwa ndani kwa speed ya ile pangaboi"

anasema hapo mwanaume anaweza maliza double double hata mara 5 maana ni balaa...joto analopata na wewe mwanamke unalopata mnaweza jikuta siku hiyo hamtoki ndani. nilishangaa sana ubunifu huu wa waafrika hasa dada zetu kipindi hiki ambacho inasemekana kuna ukata.basi nao hawajabaki nyuma. najiuliza hivi hii mtu unaweza jaribu ukabaki salama?fikiria ile feni inavyozunguka halaf ndo iwe imefungashiwa kwenye mashine yako mwanaume....

View attachment 616723
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23]
 
Hi vi wewe gudume kweli ulizaliwa miezi Tisa tumbo ni kwa mama ya Au miezi ilipitiliza hadi mwaka??

Kuna Uzi ulisema una kibamia je hii style utaweza si kitachomoka?
 
Manjonjo yana raha yake kuikatikia kwa staili... Mbele nyuma kushoto kulia duara speed sio lazima afu inachosha haraka

Wakati huo mwanaume nae atakosa balance ya kukusearch kila engo


Cc Smart911
 
Nacheka kama mazuri. Siku zote mapenzi ni starehe bana sasa pale watu wanapoigeuza ni kama adhabu huwa nashindwa kushangaa.

Na pia najiuliza joto hilo ni la dunia gani ambalo kwa style za kawaida halipatikani. Mimi hiyo raha wacha nisiipate tu kwa kweli.
huyu jamaa leo ndo nimesoma post yake, nimecheka sana.
 
Dah! Kwel Jf raha sana. hili tena balaa gan uyo dada akitoka hapo lazima physics itumike ili akae sawaa. Maana lazima wamutafutie speed, velocity,momentum,force,volume,heart,Energy
 
Back
Top Bottom