Dada zangu huu ni ustaarabu?

Dada zangu huu ni ustaarabu?

Hazina kitu!
Zinapovaliwa ni sehem Nyeti...ukitzama hzo nguo ni rahisi kujenga hisia ya sehem yenyewe.
ex: mtu unaemheshim mtu mzima...akianika suruali au shati haitakushangaza...lakin c.h.u.p.i yake ukiiona ukweli utajhsi aibu.
Ni hivyo tu!
Vise versa!!!

ah maalim unajua kujenga hoja,ni kweli lazma utawaza kojoleo,
 
Bajabiri!
Siku hizi wanavaa tafauti na maadili ya kiafrika...tunaona v.i.u.n.o vyao...yote wanatuumiza wengine.
Ukiuliza kulikoni mwazivaa hivyo nguo zenu...hadi mnatuonesha karibu na ikulu...wanajibu simple: kwani ajabu ni nini?...mbona mikono waiona!!
Si ustaarabu kabsa!.
 
Ni vizuri chupi zianikwe juani, zipigwe jua zikauke kwa ajili ya afya ya mvaaji. Zisipokauka vizuri mvaaji mwenyewe ndio ataenda pharmacy kununua dawa na kujiuguza. Sasa ya nini kuogopa watazamaji mpaka mtu uweke chupi ndani?

wewe kama mtanzania ambaye umetunza kwa mila na desturi za kitanzania je nivema wakubwa zako kukuta nguo zako za ndani zipo ovyo?
 
kwa mabinti ukienda vyumbani kwao utakuta wametundika nguo zao za ndani kila m2 anaona je huu ni ustarabu ama ni kwanini msiziweke sehemu za faragha? JE HUU NI HUUGWANA
kwani zina shida gani hizo nguo, zinavaliwa wapi pasipojulikana?
 
Pole sokon na chupi za siku hizi badala ya chupi kuficha t*ko t*ko ndio linaficha chupi. Lol!
 
kwa mabinti ukienda vyumbani kwao utakuta wametundika nguo zao za ndani kila m2 anaona je huu ni ustarabu ama ni kwanini msiziweke sehemu za faragha? JE HUU NI HUUGWANA
Hoja yako ni nini? UKO KWA WATU...fanya lilokupeleka!!!
 
kwa mabinti ukienda vyumbani kwao utakuta wametundika nguo zao za ndani kila m2 anaona je huu ni ustarabu ama ni kwanini msiziweke sehemu za faragha? JE HUU NI HUUGWANA

ulitaka zianikwe kwenye kamba uan?nyumba ya kupanga mpo wapangaji 6 then we vnasa vyako wavianika nje pale taahh ahh asi watakuimba kwenye midundiko..ohh bib yule chup lake kubwa lina matobo kati...
mazngra bwana bt km wameanika chumban kwao nipoa au ulitaka waanika wap>?na wee mtoto wa kiume ni umbea unakusumbua macho ppep pepe vyumban kwa wadada yahusu?km ulienda kuomba madesa tulia upewe we macho juu ju km watengeneza balbu?😱:embarrassed:😱!!!!!
 
Wewe waishi dunia gani nguo za ndani ni lazima zianikwe kwenye hewa na zikauke vizuri ikibidi zianikwe kwenye jua zikauke kabisa. Ushamba kuficha na wale wanaoanika faragha ni wachafu wanaficha uchafu wao.
 
ulitaka zianikwe kwenye kamba uan?nyumba ya kupanga mpo wapangaji 6 then we vnasa vyako wavianika nje pale taahh ahh asi watakuimba kwenye midundiko..ohh bib yule chup lake kubwa lina matobo kati...
mazngra bwana bt km wameanika chumban kwao nipoa au ulitaka waanika wap>?na wee mtoto wa kiume ni umbea unakusumbua macho ppep pepe vyumban kwa wadada yahusu?km ulienda kuomba madesa tulia upewe we macho juu ju km watengeneza balbu?😱:embarrassed:😱!!!!!

Jingine lachuja mchuzi wake hapo uani patakuwa hapatoshi shosti
 
Si wengine tuna aleji na chupi za kike hata tukiona shop tu aleji inapanda kwa nn msiweke kabatini jamani au ndo show off kuonyesha una michupi mia moja?
 
We unamatatizo nyinyi ni wale wale mnaotaka kutembea na michupi ya wanwake kwenye gari na ofisini
 
Si wengine tuna aleji na chupi za kike hata tukiona shop tu aleji inapanda kwa nn msiweke kabatini jamani au ndo show off kuonyesha una michupi mia moja?

we bwan vp ?
so chup ianikwe kabatn jaman?
ntaanza kukufundsha SAYANSI KIMU JUU YA UFUAJI NA UANIKAJI WA NGUO ZA NDAN...staitaj ada ni wewe tu somo bure maswali utalilipia..
 
Sio peke yake wapo wengi wanahitaji hilo somo
 
Ndugu kwa kweli huu sio ustaarabu kabisa unajua hizi nguo za wakinadada ikishavaliwa inakua na mvutosana kwa sisis wanaume tofauti an ikiwa dukani yaani unakuta mtu ameanika bikini za hatari kwenye kamba hwajua wana tupa hamasa sana ,hizi inabidi ziweke sehemu ambayo zinaonekana kwa nadra kama chumbani kuna hewa ya kutosha tuu na zitakauka
 
Hahaha mama big mi sina aleji ya kunusanusa nina aleji ya kuona nikiona tu balaa alafu Rose mi nipo dawa ya aleji lakini hii ni sababu ingine tena ya kuongeza bia asbh.
 
Fidel yote sawa kuona na kunusa sawa tu sasa hatakama zitafichwa we si utaenda kupiga chabo tuu hiyo aleji yako kiboko
 
mmmhhhh bwana
karibu huku uwani uwangalie washing line yangu....
 
Back
Top Bottom