Kristonsia Nkya
JF-Expert Member
- Jun 24, 2013
- 302
- 292
Dada zangu, chukua simu yako mpigie mchumbaako wako mwambie "ulidhani sitagundua"?? hafu kata simu na uzime siku nzima uone kama kesho hajakuletea zawadi za xmass na alikua hana mpango*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
*Tumia hiyo mbinu utanishukuru nakwambia*[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
*Tumia hiyo mbinu utanishukuru nakwambia*[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]