Dada zangu kuweni wabunifu

Dada zangu kuweni wabunifu

Kristonsia Nkya

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
302
Reaction score
292
Dada zangu, chukua simu yako mpigie mchumbaako wako mwambie "ulidhani sitagundua"?? hafu kata simu na uzime siku nzima uone kama kesho hajakuletea zawadi za xmass na alikua hana mpango*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

*Tumia hiyo mbinu utanishukuru nakwambia*[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Heheh unataka tupate kisingizio cha kuwapiga chini. Maana wengine tunatafuta sababu tu
 
Back
Top Bottom