Dada zangu kwanini mnawapenda wanaume wahuni?

Dada zangu kwanini mnawapenda wanaume wahuni?

kenny mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
316
Reaction score
848
Wakuu kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu hawa dada zetu mbona hawaeleweki?

Kuna mwanangu mmoja hana muonekano hana hela ila ni muhuni anavuta sigara lakini wanawake wanampenda mno awala sana yaani ghetto kwake mezani amepanga sigara.

Halafu kuna siku alimleta demu akampiga baadae aakaanza kuvuta sigara mbele ya demu lakini demu mkali akawa anacheka cheka hadi leo kamganda jamaa,

Dada zangu kwanini mnawapenda wanaume wahuni?
 
Sasa nyinyi mnaojiita masharobaro kazi yenu ni kuagiza chipsi mdebwedo zenye mayonaizi nyingi pale Kwa Mayweather chipsi ..kuvaa nguo za kike,kuweka breach kichwani na kulamba lipsi km paka aliyepigwa mwiko mdomoni..kitandani hamna maajabu yoyote zaidi ya kimoko chali

Upande wa pili watoto wa kihuni hawanaga mambo mengi wao wanafocus kwenye kupeleka Moto Tu Hadi mtoto anakimbilia kujibana ukutani Kwa nn wasishobokewe?

Kuna demu mtaani ana mabwana watatu;mmoja ni Hb sharobaro wa kuuza nae Sura kwenye mitoko ya Cheka Tu mlimani city na kidimbwi beach,wa pili ni sponsor wa kutoa mitonyo na watatu ndy huyo uliyemuanzishia uzi_muhuni mmoja hivi ana kovu la wembe upande wa kushoto wa shavu.. Mzee wa kufanikisha mission mzima ya kitandani iliyowashinda hao wawili

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu hawa dada zetu mbona hawaeleweki?

Kuna mwanangu mmoja hana muonekano hana hela ila ni muhuni anavuta sigara lakini wanawake wanampenda mno awala sana yaani ghetto kwake mezani amepanga sigara.

Halafu kuna siku alimleta demu akampiga baadae aakaanza kuvuta sigara mbele ya demu lakini demu mkali akawa anacheka cheka hadi leo kamganda jamaa,

Dada zangu kwanini mnawapenda wanaume wahuni?
Kuvuta sigara sio uhuni mkuu

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom