miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Kuna muhuni ya watu wa mbagala na pemba huko ni hovyo kabisa kwa maana zake. Yaani wana tabia mbovuu balaaa. Mf. Uwe na harusi yako uswazi huko wanavamia. Wengine mpk vinyesi wanamwaga. Wana vurugu balaq. Unakutaga mhuni akitaka oa anafunga ndoa kimya kimya. Wahuni wenzake wanashtuka keshamaliza hawawezi mfanyia tena fujo.Traditionally uhuni una maana hio ila in a modern definition uhuni ni hali ya kuwa “disminder”
Muhuni ni mtu ambaye ni an easy going person! Sio complicator which means anaweza kuwa as realistic and original as possible katika any situation.
Anyways, i love bad boys... wanaunyongorota moyo wangu weer[emoji23] sipendi kijana mpolee. I get bored. Sema sasa mwanaume kicheche ndo hunishinda
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app