Dada zangu kwanini mnawapenda wanaume wahuni?

Kuna muhuni ya watu wa mbagala na pemba huko ni hovyo kabisa kwa maana zake. Yaani wana tabia mbovuu balaaa. Mf. Uwe na harusi yako uswazi huko wanavamia. Wengine mpk vinyesi wanamwaga. Wana vurugu balaq. Unakutaga mhuni akitaka oa anafunga ndoa kimya kimya. Wahuni wenzake wanashtuka keshamaliza hawawezi mfanyia tena fujo.

Anyways, i love bad boys... wanaunyongorota moyo wangu weer[emoji23] sipendi kijana mpolee. I get bored. Sema sasa mwanaume kicheche ndo hunishinda

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣👊
 
[emoji1787][emoji1787]..Mimi siyo sharobaro km mleta mada

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mleta mada ni mfilipino[emoji23][emoji23] muache azame na meli ya kigiriki. Sisi tunataka mahardcore. Kuna uhuni fulan ukanifanyia hata public poa tu[emoji23] kuna raha sana kudeka kwa hardcore. Kule huwa tunaiva sana. Halaf dress code pia napenda akivaa cardet ama jeans suruali na shati juu. Halaf kiati avae either moka ama boots za kueleweka kama safari boots etc. Ila siyo ile midosho ya american boots[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Sasa arifu mimi namuweza wapi mtoto wa mtu amepooza? I love a loving and commanding man. Yaan akiongea moyo unapiga najiambia yeeesss, ameongea mwanaume mpk chupi inalowana[emoji23][emoji23] paroko hapana. Hanifai. Huyo awe wa misa tu na jumuiya... napenda zile cuddles za kigumu with passion. Sasa mwanaume kama hana pigo za kihuni namfanyaje? Nataka hata likija kuwa libaba lakini ule uhuni uwepo[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ha ha ha ha 🤣🤣🤣

Hutaki lilipooza huku kila uchao limevaa mashati ya vitenge na suruali za vitambaa?!!
 
Huwa mnapenda originality ya maisha... Mwanaume akikuhit na maisha halisi lazma utamuelewa sana, sababu wanawake wengi mnaishi katika imaginary worlds. Mwanaume ambaye anakuleta katika real world bila aibu na kukufanya uishi uhalisia comfortably wengi huwa mnazimika nao!

Ila wale matozi wa kuazima magari ya watu na kujishow show kichoko huwa mnawaonaga kama wanawake wenzenu. Muhuni anatake charge 24/7 na huwa ana kauli za wazi aidha unataka au hutaki na habembelezagi ujinga. Utajiformat mwenyewe tu.
Very true
 
Mleta mada ni mfilipino[emoji23][emoji23] muache azame na meli ya kigiriki. Sisi tunataka mahardcore. Kuna uhuni fulan ukanifanyia hata public poa tu[emoji23] kuna raha sana kudeka kwa hardcore. Kule huwa tunaiva sana. Halaf dress code pia napenda akivaa cardet ama jeans suruali na shati juu. Halaf kiati avae either moka ama boots za kueleweka kama safari boots etc. Ila siyo ile midosho ya american boots[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Sikujua km wewe ni demu Fulani mnyamwezi hivi[emoji1787]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣Alpha males peponiiii
Mleta mada ni mfilipino[emoji23][emoji23] muache azame na meli ya kigiriki. Sisi tunataka mahardcore. Kuna uhuni fulan ukanifanyia hata public poa tu[emoji23] kuna raha sana kudeka kwa hardcore. Kule huwa tunaiva sana. Halaf dress code pia napenda akivaa cardet ama jeans suruali na shati juu. Halaf kiati avae either moka ama boots za kueleweka kama safari boots etc. Ila siyo ile midosho ya american boots[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Uhuni kama hivi yaani.. unatoa yoteee[emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222]
Screenshot_20211123-231046_Gallery.jpg

Back
Top Bottom