Dada zangu kwanini mnawapenda wanaume wahuni?

Dada zangu kwanini mnawapenda wanaume wahuni?

Wanawake wanapenda ngono za rough, mixer kuchaniwa bikini. Kwahiyo fantasies zao ziko kwa wanaume wahuni..

Which means wahuni wanapeleka moto kihuni kweli kweli....

Wewe na likitambi lako kutwa kuchomekea mashati ati unajiita gentleman....
 
Mnachoshindwa kuelewa wanaume wenzangu mwanamke hupenda mwanaume anajiamini
Na hao watu wana sifa hizo

Hiyi imewahi nitokea mimi na usmat wangu nikajua manzi atakaa we bwana kilichonikuta nililiwa pesa mpaka akili ikakaa sawa

Akaja muhun mmoja hivi kuokoa jahazi wacha amkaze bure bure na akawa anapendwa kichizi

Aswee mbona nilibadilika saiv sisemi dada samahani nina shida
saivi ni mwendo wa ubabe we binti njoo hapa hebu tia namba yako hapa fanya Fasta kuna sehemu nawah maelezo baadae. Kifupi haka ka staili kamenifanya niwale kichizi

Ushauri wangu ni mwanaume jiamini igeni kwa wenzetu kina sokwe.[emoji205][emoji205] dume hustaili kulia lia kama kitoto cha chura haya mambo tuwaachia wanaume wa dar zile chips kwenye yale mayai kuna dawa inaitwa legeza kwa hy ukila lazima ulegeze View attachment 2021400
 
Wahuni wa kweli ni wapole kama nyoka....🤣
Hapo ninapokaa kuna washikaji wanafeki sn maisha,mara wakale chakula mlimani city.kuna bar hapo kijichi turn up,kingazi na gateway kila siku wanabadilisha Tu utadhani sungusungu wanafanya doria.Juzi Tu hapo demu wa mshikaji kaja kuniomba nimtafutie kazi bwanake,nikamjibu bwanako mwenyewe laini Yule ataweza kazi ya ukuli bandari? Akajibu aka mume wangu hapendi kazi ngumu,nikamwambia haya endeleeni maisha yenu ya show off me muhuni sina habari wala nn

Wana hawana maisha lakini wanajitutumua sn..washikaji laini Kama wale madogo wa bongo Flava wa kuitwa mabantu🤣

Kila nikijilazimisha kwenye kampani zao tunakuwa mafuta na maji..sipendi kufeki maisha kbs
miss pablo km vp nipe mdogo wako atafurahi 🤣
 
Wakuu kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu hawa dada zetu mbona hawaeleweki?

Kuna mwanangu mmoja hana muonekano hana hela ila ni muhuni anavuta sigara lakini wanawake wanampenda mno awala sana yaani ghetto kwake mezani amepanga sigara.

Halafu kuna siku alimleta demu akampiga baadae aakaanza kuvuta sigara mbele ya demu lakini demu mkali akawa anacheka cheka hadi leo kamganda jamaa,

Dada zangu kwanini mnawapenda wanaume wahuni?
Kikubwa uzima. uwe muhuni usiwe muhuni, kwa kifupi ishi maisha yako
 
Kila mtu atapata wa kufanana nae, isitokee mtu yoyote akabadili mfumo na utaratibu wa maisha yake kwa comments za wadau. Kiufupi mm nilishapitia maisha Fulani kitambo hicho mpaka ikafika stage ukifagia ghetto ukachoma ule uchafu unafuka Moshi wa Jamaica tu. Lakini ndiyo kipindi nilikua hadi napanga ratiba ya Jane aje kesho Mwajuma keshokutwa Batuli wiki ijayo.Lakini siku za hivi karibuni baada ya kubadili muenendo wa maisha kiujumla nimekuwa mbwa mzee sibweki kabisa yani kifupi sina makali. Kutongoza na kufukuzia demu najionea shida tu.
 
Hapo ninapokaa kuna washikaji wanafeki sn maisha,mara wakale chakula mlimani city.kuna bar hapo kijichi turn up,kingazi na gateway kila siku wanabadilisha Tu utadhani sungusungu wanafanya doria.Juzi Tu hapo demu wa mshikaji kaja kuniomba nimtafutie kazi bwanake,nikamjibu bwanako mwenyewe laini Yule ataweza kazi ya ukuli bandari? Akajibu aka mume wangu hapendi kazi ngumu,nikamwambia haya endeleeni maisha yenu ya show off me muhuni sina habari wala nn

Wana hawana maisha lakini wanajitutumua sn..washikaji laini Kama wale madogo wa bongo Flava wa kuitwa mabantu🤣

Kila nikijilazimisha kwenye kampani zao tunakuwa mafuta na maji..sipendi kufeki maisha kbs
miss pablo km vp nipe mdogo wako atafurahi 🤣
🤣🤣🤣Feki feki life hao ...laini laini hao......
 
Ndio wale wavaa vipensi na virasta rasta au wafunga ndevu 😅
 
Sasa arifu mimi namuweza wapi mtoto wa mtu amepooza? I love a loving and commanding man. Yaan akiongea moyo unapiga najiambia yeeesss, ameongea mwanaume mpk chupi inalowana[emoji23][emoji23] paroko hapana. Hanifai. Huyo awe wa misa tu na jumuiya... napenda zile cuddles za kigumu with passion. Sasa mwanaume kama hana pigo za kihuni namfanyaje? Nataka hata likija kuwa libaba lakini ule uhuni uwepo[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
😂😂😂 Gangsta moves
 
Unamaanisha masela ?!!!

Kama ndivyo nianze kukujuza kuwa usela si uhalifu......usela si kuvuta ganja hadharani....usela si kuivunjia heshima jamii na watu wake ....usela si kutowajibika.....usela sio kutokuwa na utu ,haya na soni.....

Usela ni imani.....

Msela anajitambua.....
Msela hasujudii na kuwaogopa watu......
Msela hazingui wengine na mwiko kuzinguliwa......
Msela hapendi kuonea wengine.....
Katu msela hakubali kuonewa.....na yeyote yule....narudia tena katu hakubali hakubali hakubali KUONEWA.......
Msela ni mtu wa mazoezi ,torati ya kitaa inamtaka msela awe anajua sanaa za mapigano....kukichafuka huweza kujilinda na kumlinda mpenzi wake dhidi ya WAGAIGAI hata 10.......
Msela anajithamini na kujipenda Sana....Sana....mno.....
Kwa kuwa msela ANAJIPENDA basi ana hulka ya kupenda wengine kiukweli......

Msela ni ALPHA MALE na si BETA MALE.....
Msela si mtumwa wa mapenzi na hamsujudii mwanamke......

Hakika mademu WANAWAPENDA MASELA KWANI WAO SI SUBMISSIVES.....

Salaam zimfikie mwanangu EXTROVERT baharia wake NISHANYONGEA katika "zigi" jicho liko wima hapa JF.......

USELA NI IMANI KUBWA NA LANGO LA TORATI YA MITAA

#Yetzer ha-tov
#Shavua Tov
Hili ndio jibu...pia msela Hana wivu...
 
Mleta mada ni mfilipino[emoji23][emoji23] muache azame na meli ya kigiriki. Sisi tunataka mahardcore. Kuna uhuni fulan ukanifanyia hata public poa tu[emoji23] kuna raha sana kudeka kwa hardcore. Kule huwa tunaiva sana. Halaf dress code pia napenda akivaa cardet ama jeans suruali na shati juu. Halaf kiati avae either moka ama boots za kueleweka kama safari boots etc. Ila siyo ile midosho ya american boots[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Vijana nunuen cardet na safari buti ile imeandikwa Bata
 
Back
Top Bottom