kenny mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 316
- 848
Ni kitendo cha kufanya vitu un acceptable kwa jamii inayokuzungukaUhuni ni nini tuanzie hapo kwanza.
Ungetushirikisha na wahuni wenyew ungepata facts nyingi sana katika hiliWakuu kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu hawa dada zetu mbona hawaeleweki? Kuna mnawapenda wanaume wahuni?
Kukosa pesa ni unacceptable katika jamii?Ni kitendo cha kufanya vitu un acceptable kwa jamii inayokuzunguka
Ama tumuulize Maria nyerere mana nae alimkubali Nyerere wakati anavuta fegiUhuni ni nini tuanzie hapo kwanza.
Inamaana wasio na pesa wote ni wahuni.ama tumuulize Maria nyerere mana nae alimkubali Nyerere wakati anavuta fegi
huyu mleta mada ana imani potofu sana,
Unataka kusema baba wa taifa alikua akila mjani ?? ..ama tumuulize Maria nyerere mana nae alimkubali Nyerere wakati anavuta fegi
huyu mleta mada ana imani potofu sana,
Kwenye jamii zetu za kiafrika kosa vyote sio pesa, utaonekana kibaka tu kama sio umerukwa na akili ..Inamaana wasio na pesa wote ni wahuni.
Kukosa pesa ni hali ya mpito si kilema.Kwenye jamii zetu za kiafrika kisa vyote sio pesa, utaonekana kibaka tu ..
kwa mujibu wa Mkewe, mwalimu alikua akivuta fegi sio mjani bossUnataka kusema baba wa taifa alikua akila mjani ?? ..
Uhuni ni nini tuanzie hapo kwanza.
Kuvuta sigara sio uhuni mkuuWakuu kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu hawa dada zetu mbona hawaeleweki?
Kuna mwanangu mmoja hana muonekano hana hela ila ni muhuni anavuta sigara lakini wanawake wanampenda mno awala sana yaani ghetto kwake mezani amepanga sigara.
Halafu kuna siku alimleta demu akampiga baadae aakaanza kuvuta sigara mbele ya demu lakini demu mkali akawa anacheka cheka hadi leo kamganda jamaa,
Dada zangu kwanini mnawapenda wanaume wahuni?