Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Ma Nice guys wanafeligi sana wao wakikutana na watoto kike wanabadilisha hadi sauti et madai yao wanakua romantic ..Mtoto analainika kama mbuzi mbele ya chatu ani! Ni kukamata likifuno na kulipea kindepa ani ile kibabilon sana!
Mtoto anacheka cheka tu baada ya show ni kalii!
Sasa hiyo hali inawachosha watoto wa kike coz wana feel kama wako na wanawake wenzao