Ma Nice guys wanafeligi sana wao wakikutana na watoto kike wanabadilisha hadi sauti et madai yao wanakua romantic ..Mtoto analainika kama mbuzi mbele ya chatu ani! Ni kukamata likifuno na kulipea kindepa ani ile kibabilon sana!
Mtoto anacheka cheka tu baada ya show ni kalii!
Sawa,nashukuru kwa kunizimikia,na utaoza kweli hadi uanze kunuka.Kuna kaka mmoja wenzie wanamwambia ameokota dodo kwenye mwarobaini na mimi huwa naambiwa nimerogwa sio bure. Kwanza anavuta majani ile mbaya, kipato chake anaaford kula kwa siku kutokana na kazi yake. Lakini ndio nimekufa nimeoza kila mtu anatamani kujua sababu ila hata mimi sijui.
[emoji16][emoji16][emoji16]Wanawake wanapenda ngono za rough, mixer kuchaniwa bikini. Kwahiyo fantasies zao ziko kwa wanaume wahuni..
Which means wahuni wanapeleka moto kihuni kweli kweli....
Wewe na likitambi lako kutwa kuchomekea mashati ati unajiita gentleman....
We ni mjinga kumbe gazet lote hili unaomba k kwa miss PabloHapo ninapokaa kuna washikaji wanafeki sn maisha,mara wakale chakula mlimani city.kuna bar hapo kijichi turn up,kingazi na gateway kila siku wanabadilisha Tu utadhani sungusungu wanafanya doria.Juzi Tu hapo demu wa mshikaji kaja kuniomba nimtafutie kazi bwanake,nikamjibu bwanako mwenyewe laini Yule ataweza kazi ya ukuli bandari? Akajibu aka mume wangu hapendi kazi ngumu,nikamwambia haya endeleeni maisha yenu ya show off me muhuni sina habari wala nn
Wana hawana maisha lakini wanajitutumua sn..washikaji laini Kama wale madogo wa bongo Flava wa kuitwa mabantu[emoji1787]
Kila nikijilazimisha kwenye kampani zao tunakuwa mafuta na maji..sipendi kufeki maisha kbs
miss pablo km vp nipe mdogo wako atafurahi [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeshafikia hatua ya kunuka kabisaSawa,nashukuru kwa kunizimikia,na utaoza kweli hadi uanze kunuka.
Nimecheeeeka jamani, wahuni wanapiga show mamaeeee, kuna muhuni mmoja enzi izo niko advance anakwambia ummnyonye koni huku anavuta ile kitu kubwa, akimaliza hapo iyo show utaomba pooooSasa nyinyi mnaojiita masharobaro kazi yenu ni kuagiza chipsi mdebwedo zenye mayonaizi nyingi pale Kwa Mayweather chipsi ..kuvaa nguo za kike,kuweka breach kichwani na kulamba lipsi km paka aliyepigwa mwiko mdomoni..kitandani hamna maajabu yoyote zaidi ya kimoko chali
Upande wa pili watoto wa kihuni hawanaga mambo mengi wao wanafocus kwenye kupeleka Moto Tu Hadi mtoto anakimbilia kujibana ukutani Kwa nn wasishobokewe?
Kuna demu mtaani ana mabwana watatu;mmoja ni Hb sharobaro wa kuuza nae Sura kwenye mitoko ya Cheka Tu mlimani city na kidimbwi beach,wa pili ni sponsor wa kutoa mitonyo na watatu ndy huyo uliyemuanzishia uzi_muhuni mmoja hivi ana kovu la wembe upande wa kushoto wa shavu.. Mzee wa kufanikisha mission mzima ya kitandani iliyowashinda hao wawili
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Muhuni wangu alinambia saa kumi nikukute ndani yaani uwe ushatoka tuition nina tukio na wewe mi si nikamletea pigo za kike nikatimba geto saa kumi na mbili maji niliyaita mmaHahahahahah bad boys wana taste yao ya pekee na wengi ni humorous n funny to be around! Kikubwa wana misimamo flani ambayo wanawake wengi ndio hupenda kwa mwanaume [emoji28] yani ile amri sio ombi ndio mwendo wao. Na moto wanapeleka kweli yani!
Cheka mrembo uongeze siku.Nimecheeeeka jamani, wahuni wanapiga show mamaeeee, kuna muhuni mmoja enzi izo niko advance anakwambia ummnyonye koni huku anavuta ile kitu kubwa, akimaliza hapo iyo show utaomba poooo
Wakuu kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu hawa dada zetu mbona hawaeleweki?
Kuna mwanangu mmoja hana muonekano hana hela ila ni muhuni anavuta sigara lakini wanawake wanampenda mno awala sana yaani ghetto kwake mezani amepanga sigara.
Halafu kuna siku alimleta demu akampiga baadae aakaanza kuvuta sigara mbele ya demu lakini demu mkali akawa anacheka cheka hadi leo kamganda jamaa,
Dada zangu kwanini mnawapenda wanaume wahuni?
Aibu yako, Hata wewe??[emoji23]Ni watamu Kwa bed balaa,Yaan balaa...daah[emoji39]
Serious Yaan🤗Aibu yako, Hata wewe??[emoji23]
Ni balaa zitoMuhuni wangu alinambia saa kumi nikukute ndani yaani uwe ushatoka tuition nina tukio na wewe mi si nikamletea pigo za kike nikatimba geto saa kumi na mbili maji niliyaita mma
Shida nipale mnaojifanya wastaarabu umekaa na mpenzi wako lakini unajiweka kama umekaa na Mama mkwe wako mwanamme mzima ukaa na mu-penzi utazani umekaa na Mwl wako wa hesabu [emoji3][emoji3][emoji3] acha wahuni wafurahie.Wakuu kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu hawa dada zetu mbona hawaeleweki?
Kuna mwanangu mmoja hana muonekano hana hela ila ni muhuni anavuta sigara lakini wanawake wanampenda mno awala sana yaani ghetto kwake mezani amepanga sigara.
Halafu kuna siku alimleta demu akampiga baadae aakaanza kuvuta sigara mbele ya demu lakini demu mkali akawa anacheka cheka hadi leo kamganda jamaa,
Dada zangu kwanini mnawapenda wanaume wahuni?