Dada zangu mnavyojichubua ngozi, Mungu anawaona

Kuna wanawake wakijikoboa hupendeza zaidi ila kuna wengine hupoteza uzuri wao wa asili na mfano mzuri ni kajala , wema na ray c

Walikuwa hot walipokuwa black ila kwa sasa sio wazuri kama zamani...

Hivyo mchubuo hutegemea mtu na mtu lakini wanawake wasiojikubali hawalijui hili
 
Waeusi wote wanaobadirisha rangi yao ya asili na kuwa waeupe wajue kwamba ipo siku Mungu atawadai rangi yake aliyowapa wameipeleka wapi. Cjui watamjibu nini?!
 
Napenda kitu cheupe cha asili sio hao wa kama vile vidonge vikiitwa rangimbili.
 
Yani ni ujinga usiomithilika ...
 
Sipendi kuona mwanamke mwenzangu kajichubua . ..yaani wengine wanakua na rangi tatu tatu kama alimezwa na chatu alafu akatemwa ...ptuuuuuuu[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] mungu anawaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…