The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,255
Ataumbuka kwenye viungio vya vidole na mikono, hivi hata ufanye nini huwa havibadiliki rangi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na vya uzazi pia. Havibadilikagi rangi abadanAtaumbuka kwenye viungio vya vidole na mikono, hivi hata ufanye nini huwa havibadiliki rangi.
Yaani kapendeza sana!wachina mnatuongezea mizinga!Kama nilikuwa naombwa 30,000 sasa itakuwa 300,000hapo alipokuwa mweupe ndio kawa mzuri
Jiweke na wewe tuone kama hujapitia kwenye mashine ya kukoboaAnakimbia rangi adimu, jamani wanawake weusi wanapotea duniani.
Hahahaaaaaaa,umetisha sana!Hivi assume ulienda nje kusoma ukamuacha demu wako chausiku,leo unarudi unakuta anaitwa cutelicious baby halafu ndio kabadilika hivyo!Utanuna au utafurahiKweli wanawake weusi wataanza kupuputika kama tembo kwenye hifadhi zetu, nao waanze kulindwa na mitutu
Yale maji special kama ya Raykanywa maji mengi ,teh teh teh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yale maji special kama ya Ray
Mmmh hilo nalo nenoNa vya uzazi pia. Havibadilikagi rangi abadan
Mkuu I am very organinc😛😛Jiweke na wewe tuone kama hujapitia kwenye mashine ya kukoboa
kwa kidhungu tunaita, "endangered species ". karibu itakuwa''extinct"Anakimbia rangi adimu, jamani wanawake weusi wanapotea duniani.
Hata K**a inabaki nyeusiiii!Ataumbuka kwenye viungio vya vidole na mikono, hivi hata ufanye nini huwa havibadiliki rangi.
Hayo hata kwenye kanga yapo teh teh tehMkuu I am very organinc😛😛
Mkuu acha kiherehere basiMODERATOR INNOVATOR na Moderator
Hii post ilishawekwa humu, imerudiwa, kwa tittle nyingine, itupieni huku;
Dada zangu mnavyojichubua ngozi, Mungu anawaona