Dada zangu mnavyojichubua ngozi, Mungu anawaona

Dada zangu mnavyojichubua ngozi, Mungu anawaona

1473109859748.jpg
1473109865403.jpg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
1473109889414.jpg
They are so black beautiful

kwanini msiwe tu kama hawa?
 
Wamekaririshwa ukiwa mweupe unakua mzuri

mi ambalo mpaka sasa sielewi ni hata wale ambao ni weupe wa kuzaliwa wanajichubua! Kwangu napendelea ung'avu wa ngozi hata kama ni mweusi. Ukiwa mweupe wa kuzaliwa na ukawa na ngozi nyororo nayo poa sana. Niulize, hivi hakuna vipodozi vya kulainisha ngozi badala ya rangi?
 
Ila jokes pembeni. Ukiongozana na mpodo barabarani somehow kwa jamii ya waatz heshima inakuwa kubwa.

Pia weupe unaficha mengi, yaani mwanamke akiwa mweupe ubaya wa sura unafichika somehow. ( hapa nazungumzia individual perception ya mtu )

hii ni kweli kwamba kama watu wawili wana uzuri sawa, mmoja mweusi na mwingine mweupe mara nyingi mweupe ataonekana mzuri zaidi. Ni kweli kwamba weupe unaficha madhaifu mengi. Na ukimuona msichana mweusi na kila mmoja anamuona mzuri basi ujue huyo ni mzuri haswa. Angekuwa mweupe anakuwa moto wa kuotea mbali.
 
Back
Top Bottom