Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Uchinjwe xmas 😹😹Mnavyowaambia hivyo wakianzisha mgomo rungu zetu tunasuuzia wapi?
Waacheni hivyo hivyo
Halafu dini zina unafki, mkipendana mnasema 'mungu katukutanisha' mkishindwana utasikia 'yote mapenzi ya mungu'