Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Sio lazima iwe watunza mwili, ila Mm nataka ioshwe tuuππππππππ Hahahaha,,wewe itabid utulie kwanza coz unataka watunza mwili,,ila sisi ndio tukoooooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio lazima iwe watunza mwili, ila Mm nataka ioshwe tuuππππππππ Hahahaha,,wewe itabid utulie kwanza coz unataka watunza mwili,,ila sisi ndio tukoooooo
Jirani hunitakii mema,kwani na mimi nikinywa hiyo juice ya tunda kuna tatizo gani?Jirani uchinjwe nanenane tukikuacha mpk xmas utasumbua πΉπΉπΉ
nioge nichujuke,,haya wahi basiUlipo nipo,mimi ndio nitakufuata wala usipate tabu,kama hujaoga basi usioge,
Mimi harufu ya jasho lako ndio tiba yangu.
Nafuta namba yako πππSi umesema ujirani mwema wewe
umeona wenzio wanafaidi hahahahaSio lazima iwe watunza mwili, ila Mm nataka ioshwe tuu
Samahani,,we naniπNafuta namba yako π
Mule mule,yani wewe ndio utakua wa kufa na kuzikana,sisikii wala sioni,nioge nichujuke,,haya wahi basi
mi mwenzio mpita njia sasa hapo kwenye kufa na kuzikana sijapaelewaMule mule,yani wewe ndio utakua wa kufa na kuzikana,sisikii wala sioni,
Tuyapiku yale mapenzi ya maigizo ya Lucas Mwashambwa na ephen_
Jirani umenishinda nimecheka hiyo comment yako mpk machozi.!! πππJirani hunitakii mema,kwani na mimi nikinywa hiyo juice ya tunda kuna tatizo gani?
Usinirushie ndege wangu jirani.
Mimi na Lucas tunapendana sio waigizajiMule mule,yani wewe ndio utakua wa kufa na kuzikana,sisikii wala sioni,
Tuyapiku yale mapenzi ya maigizo ya Lucas Mwashambwa na ephen_
AiseeSamahani,,we naniπ
utakufa vibaya weweeeee nakuambiaAisee
Nimenyoosha mikono juuumeona wenzio wanafaidi hahahaha
Bado sana, lazima nikukule kwanza πutakufa vibaya weweeeee nakuambia
makwapa yananuka shusha io mikono bwan πNimenyoosha mikono juu
Hii njia hua hawapiti,hapa ni kama Kigoma mwisho wa reli,wewe mwenyewe utaghairi kupita,utaweka kambi mpaka pale nitakapo kukumbusha kua upo safarini baby utachelewa,mi mwenzio mpita njia sasa hapo kwenye kufa na kuzikana sijapaelewa
nani kakuchochea coz ulianza kuikatia tamaaBado sana, lazima nikukule kwanza π
Wenzako wanalamba hapomakwapa yananuka shusha io mikono bwan π
Hahahaha ππ anhaa,,na wenzie 50 waliopita walisema ivo ivoHii njia hua hawapiti,hapa ni kama Kigoma mwisho wa reli,wewe mwenyewe utaghairi kupita,utaweka kambi mpaka pale nitakapo kukumbusha kua upo safarini baby utachelewa,
π π
Ghai ghai ghai ππππptuuuuWenzako wanalamba hapo