Dada zangu, tunakumbushana tu ili baadaye tusilaumiane ingawa kuolewa siyo lazima na neno langu siyo sheria

Dada zangu, tunakumbushana tu ili baadaye tusilaumiane ingawa kuolewa siyo lazima na neno langu siyo sheria

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
INASEMEKANA:

_*Idadi ya watu inafikia bilioni 7.8 dunia nzima.

*Wanawake ni bilioni 5.6 Wanaume ni bilioni 2.2.

_*Hapo utaona busara inamtaka kila mwanamke kujitafakari kabla ya kumkataa mwanaume, au kukataa ndoa ya uke wenza.

*Zingatia kwamba, kati ya hao wanaume bilioni 2.2:

1. _*Bilioni 1 tayari wamekwishaoa.

2. _*Milioni 200 wako jela na wenye matatizo ya akili.

Wanabaki wanaume bilioni 1 tu 😂 .

3. _*Milioni 500 hawana kazi.

4. _*Kumbuka asilimia tano (5%) wamo kwenye ndoa za jinsia moja.

5. _*Asilimia tatu (3%) ni mapadri wa Katoliki. Hawaoi.

6. _*Asilimia kumi (10%) ni ndugu wa damu. Hawawezi kukuoa.

7. _*Asilimia ndogo inayobaki ni wazee kuanzia miaka 80.

*Naongezea hapo hatujawatoa wenye upungufu wa nguvu za kiume.
 

Attachments

  • 1649955135857.mp4
    1 MB
Ivi nuie hizo data waga mnazitoa wapi, acheni kudanganyana
Screenshot_20220415-082204.jpg
 
Kuna kitu hamkielewe, idadi ya wanaume na wanawake ni kama sawa tu duniani kote
Ila idadi ya wajane wanawake ndo wengi maana wanaolewa na wanaume wakubwa zaidi
Ila kwa vijana wanaume ni wengi,
We toka nje mtaani kwako tu af angalia tu utagundua
Screenshot_20220415-082559.jpg
 
Tanzania tunafanya sensa mwaka huu, hebu ondowa huo uchafu wako hapo.

Sensa ya mwisho ilifanyika lini?
Nahis unamatatizo
Kuna statistics, ndo maana ata kabla ya sensa idadi inajulikana,
 
Tanzania tunafanya sensa mwaka huu, hebu ondowa huo uchafu wako hapo.

Sensa ya mwisho ilifanyika lini?
hapa bongo hakuna watu wagumu km wanaume kwenye kushiriki vitu km hivo

endapo uchaguzi tu hawajisumbui kupiga kura ije hiyo?


hiko ndo kinakosesha takwimu sahihi.

pili wanaume wanakufa sana bongo
 
Kuna kitu hamkielewe, idadi ya wanaume na wanawake ni kama sawa tu duniani kote
Ila idadi ya wajane wanawake ndo wengi maana wanaolewa na wanaume wakubwa zaidi
Ila kwa vijana wanaume ni wengi,
We toka nje mtaani kwako tu af angalia tu utagunduaView attachment 2187953
Hapo india nazan ni 65% wanaume na 35% wanawake
 
Back
Top Bottom