Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Basi nakuja mwenyewe kukuonesha tofauti ya guluguja, kiwavi jeshi, jongoo na chatu πππAahahahahahaaa sawa Nsumba Ntale π.
Guluguja ndo funza? Simjui mie guluguja ndo nani?π.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi nakuja mwenyewe kukuonesha tofauti ya guluguja, kiwavi jeshi, jongoo na chatu πππAahahahahahaaa sawa Nsumba Ntale π.
Guluguja ndo funza? Simjui mie guluguja ndo nani?π.
π€¨vip kuna kabinti unakamendea nini ili kakuone wewe mtulivuπ
Basi nakuja mwenyewe kukuonesha tofauti ya guluguja, kiwavi jeshi, jongoo na chatu πππ
Au sio.Habari bila picha mjingeo ni chai
Ujumbe wako ni mzuri sana lkn Kwa Sasa wamezidiMapenzi hayalazimishwi kama mwanamke anakupenda hawezi kutoka nje na mwanaume mwingine. Au kama mwanamke anakuheshim au anajuwa unaumhim kwenye maisha yake hawezi kudanga. Vijana acha kuchaguwa wake kwa kuangaria sura tu tabia ni mhim zaidi kuliko sura. Kumbuka sura hairiwi wala hailei watoto wala haiwezi kulipa pango.
Huna huo uwezo. Kijana huwezi miliki mwanamke kama wangu wewe.Kama ndo huyo kwenye avatar bora nyeto tu.
Ukitaka kumridhisha mwanadamu tutakuzika kesho tu. mwanadamu haridhiki hadi anaingia kaburini.Hamuwaridhishi kwa bed mnategemea nini
Acha kuegemea upande mmoja waambie na hao wateja nao wanadanga acha kuwa mbinafsi kuegemea upande wa wakina dadaKama wazazi wenu hawa muambii Ni vyema na haki mkaachana na biashara ya udangaji kwani ni hatari Kwa afya zenu na Kwa jamii pia.
Leo kwenye saa6 mchana mdada wawatu kidogo achinjwe.
IKO HIVI.....
Huyu dada alikuwa na bwanake permanent anaye muhudumia Kila kitu inshort ni nusu Mme wake.
Jamaa alisafiri kwenda Arusha ijumaa Jana jpili akarudi kimya kimya akalala kahama.
Leo katoka kahama Hadi Kwa hawala yake si akakuta jemba nyingine imo imekesha na imelala kabisa mchana kweupe.
Valangati ndo likaanza Sasa yule jamaa aliyefumwa akajitetea
Bro Mimi wanionea tu sijawahi ambiwa na huyu dada na nipo tangu Jana (jpili) jioni hapa.
Muda huo jamaa ana kisu mkononi. Vile anataka amchome yule msela (mfumaniwa) akakidaka kisuu ndo kupiga makelele watu wakajaa pale.
Hili tukio ni la4 huu mwaka achana na ya kisu mengi ni kipigo Cha mbwa Koko tu. Na jamaa wanabeba mizigo Hadi na nguo walizo kununulia.
Kuna mwingine mafuta yalihusika baada ya kufumaniwa jamaa akasema kumbe wewe ni Malaya sana akaita wahuni. Ni aibu na wote wanahama mtaa kama wezi.
Hivi ninyi hizo kitu Zenu hamuzioneagi huruma jamani hata kidogo? Au ndo vile zishaota sugu ?
Tukio la Leo limenikuta nimelishihudia mengine ya kusimuliwa na bahati nzuri wale wadada baadhi Yao nawajua.
Unamchoma mtu kisu (jinai) kisa Malay@?? What the fvck is this homie??..Muda huo jamaa ana kisu mkononi. Vile anataka amchome yule msela (mfumaniwa) akakidaka kisuu ndo kupiga makelele watu wakajaa pale.
HatufamananiUnamchoma mtu kisu (jinai) kisa Malay@?? What the fvck is this homie??..