akatiwanya
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 674
- 868
EnhHii tabia ya dada zetu wawapo chumbani usiku wakishikwa na haja ndogo unakuta wanajisaidia kwenye makopo Kisha asubuhi wanapishana kwenda chooni kumwaga kojo lao sio sawa na ni kero, leo ilibaki padogo nioge kojo baada ya dada mmoja kutaka kumwaga wakati mimi niko uko faraghani, kama mnahogopa kwenda chooni usiku wa ma8 si muamshe waume zenu wawasindikize!, na nyie singles tubadilishane number muwe mnatupigia tuwasindikize basi.
Raha ya chumba kiwe na Choo ndani self contained Choo cha sink sio shimo, Choo cha nje msala ila uswahili na maisha ya chini ndio lifestyle yao Choo nje, Choo cha ndani kiwe cha kuflash halafu mchawi awe maji jiandae kulipa bills maji baada umwagilie maua unaishia kumwagilia Choo makimba yaende bila hivyo chumba kizima kitanuka maviUsiku wanaogopa nini?,wachawi au?, Mume upo ndani inuka mpeleke mkeo chooni. Mnalala na mikojo mpaka kopo linageuka rangi aisee.
Watu wabadilike self-contained room ndo habari ya mjini.Hii tabia ya dada zetu wawapo chumbani usiku wakishikwa na haja ndogo unakuta wanajisaidia kwenye makopo Kisha asubuhi wanapishana kwenda chooni kumwaga kojo lao sio sawa na ni kero, leo ilibaki padogo nioge kojo baada ya dada mmoja kutaka kumwaga wakati mimi niko uko faraghani, kama mnahogopa kwenda chooni usiku wa ma8 si muamshe waume zenu wawasindikize!, na nyie singles tubadilishane number muwe mnatupigia tuwasindikize basi.
Umenikumbusha zile Gesti Hausi za zamani, mnakutana huko bafuni kila mtu kabeba kitaulo, hadi mnakutana na mtu usiyetaka kukutana nae Gesti.Watu wabadilike self-contained room ndo habari ya mjini.
Ongezea wachimbe na visima vya maji ili maji yawe ya uhakika kinyume na hapo watakimbia chumba au nyumba maana hata mgeni akija anasikia harufu ya mvurugano wa mkojo na mavi kutoka chooni bila kusahau dawa ya kusafisha choo na kukata shombo la mavi na mikojo maana kuna dawa zikimwagwa chooni choo hakinuki unatamani ulale huko huko ila km choo hakipigwi dawa utaelewa show kunanuka mpaka mtaanza kuugua homa zisizoelewekaWatu wabadilike self-contained room ndo habari ya mjini.
Hayo ndio maisha hali si ya mtanzania.Hii tabia ya dada zetu wawapo chumbani usiku wakishikwa na haja ndogo unakuta wanajisaidia kwenye makopo Kisha asubuhi wanapishana kwenda chooni kumwaga kojo lao sio sawa na ni kero, leo ilibaki padogo nioge kojo baada ya dada mmoja kutaka kumwaga wakati mimi niko uko faraghani, kama mnahogopa kwenda chooni usiku wa ma8 si muamshe waume zenu wawasindikize!, na nyie singles tubadilishane number muwe mnatupigia tuwasindikize basi.
Kujua tu kopo hubadilika rangi inamaanisha ni mdau mzuri sana.Usiku wanaogopa nini?,wachawi au?, Mume upo ndani inuka mpeleke mkeo chooni. Mnalala na mikojo mpaka kopo linageuka rangi aisee.
Tunaoishi uswaz hiyo kawaida, huko Kwenu Mikochneni ndiyo geni.Kujua tu kopo hubadilika rangi inamaanisha ni mdau mzuri sana.
Chimbeni choo ndani wekeni na mifumo mizuri ya maji taka ili msilale na harufu za mikojo na kinyesi ndanisasa shida ipo wapi jamani? siungemwambia huyo dada tu
Tumeskia kaka, eh wanaume siku hizi mmekuwa na midomo!!Hii tabia ya dada zetu wawapo chumbani usiku wakishikwa na haja ndogo unakuta wanajisaidia kwenye makopo Kisha asubuhi wanapishana kwenda chooni kumwaga kojo lao sio sawa na ni kero, leo ilibaki padogo nioge kojo baada ya dada mmoja kutaka kumwaga wakati mimi niko uko faraghani, kama mnahogopa kwenda chooni usiku wa ma8 si muamshe waume zenu wawasindikize!, na nyie singles tubadilishane number muwe mnatupigia tuwasindikize basi.
Uswahilini mlango mkeka au pazia choo cha makuti/maboksi/mabati akioga anaonekana kuanzia mabegani mpaka kichwani juu hakuna bati choo ndio hicho hicho bafu ndio hilo hilo na chini hakuna sakafu ila mawe kibao ya kusugulia miguu utamwambia nini?Tunaoishi uswaz hiyo kawaida, huko Kwenu Mikochneni ndiyo geni.
umekaliliWatakuja kukuomba picha,
Wengine pia watakuja kukwambia kua "Haiombwi hivyo"