Dada zetu acheni kugeuza chumba cha kulala kuwa choo

Hii tabia ya dada zetu wawapo chumbani usiku wakishikwa na haja ndogo unakuta wanajisaidia kwenye makopo Kisha asubuhi wanapishana kwenda chooni kumwaga kojo lao sio sawa na ni kero, leo ilibaki padogo nioge kojo baada ya dada mmoja kutaka kumwaga wakati mimi niko uko faraghani, kama mnahogopa kwenda chooni usiku wa ma8 si muamshe waume zenu wawasindikize!, na nyie singles tubadilishane number muwe mnatupigia tuwasindikize basi.
Duh bado unaishi karne ya 18.
 
Hii tabia ya dada zetu wawapo chumbani usiku wakishikwa na haja ndogo unakuta wanajisaidia kwenye makopo Kisha asubuhi wanapishana kwenda chooni kumwaga kojo lao sio sawa na ni kero
Utakuwa umezaliwa juzijuzi mwamba! Utamaduni wa enzi na enzi huo! Zamani nilikuwa nafikri ni utamaduni wa kijijini tu lakini nilipofika mjini miaka ya 80th nikakutana na wamama wenye mazululu!
 
Hii tabia ya dada zetu wawapo chumbani usiku wakishikwa na haja ndogo unakuta wanajisaidia kwenye makopo Kisha asubuhi wanapishana kwenda chooni kumwaga kojo lao sio sawa na ni kero, leo ilibaki padogo nioge kojo baada ya dada mmoja kutaka kumwaga wakati mimi niko uko faraghani, kama mnahogopa kwenda chooni usiku wa ma8 si muamshe waume zenu wawasindikize!, na nyie singles tubadilishane number muwe mnatupigia tuwasindikize basi.
Wapi huko mkuu
 
Back
Top Bottom