Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

katoto kazuri,
duh mara magari sijui ya mikopo mara hadhi mara nini..vipi kulikoni...au umeguswa mahala ndugu? i blv amekutana na wa hivo...ila haimaanishi wadada wapo hivo maana wapo wanapambana na wao kama sisi au binadamu wengine huitaji comfort au sex kama human needs..wana emotions so sio suala la wao kuuza...ni tunapeana raha tu
 
kuwa 'pair' ni muhimu,ingawa si wote watakuwa 'pair',hawa wanaoomba omba au kupiga mizinga hawako katika lile kundi la kuwa 'pair' ni kuwaacha waendelee kutumika tu.
 
kuwa 'pair' ni muhimu,ingawa si wote watakuwa 'pair',hawa wanaoomba omba au kupiga mizinga hawako katika lile kundi la kuwa 'pair' ni kuwaacha waendelee kutumika tu.
Watakula mashine mpaka ziote sugu..Ukishakua ombaomba lazima chini kuumie
 
Mwanamke anaweza akawa na number 200 za wanaume kwenye simu yake.. na kila mmojae akamuomba buku ya vocha assume 50 wakasema hawana 150 wakakubali 150x1,000= 150,000 kwa siku assume anaomba mara tatu kwa week 150,00x3=450,000 kwa week...

Wanaume tuzinduke
Hahahaaa umenifurahisha
 
Aisee!labda nimoja wapo ya ujasiriamali.
 
Tanzania ndio Nchi pekee ambayo ukimtongoza demu.

1, Anasikia njaa hapo hapo.

2, Nywele zake zinafumuka

3, Siku yake ya kuzaliwa inakaribia

4, Simu yake inaharibika

5, Kodi ya nyumba inaisha

6, Mdogo wake anadaiwa ada, isipolipwa hafanyi mtihani wa "UE".

7, Anaomba hela ya mtaji........

8, .....

9,.......

10,......

....................................
 
Unakuta umekutana na mdada mtanashati mkabadikishana namba za simu, wengine hata siku haijaisha mmeanza kuchati kidogo tu utasikia.

#Baby mambo, naomba nitumie vocha ya buku jelo
#Baby nitumie buku tatu na mia nane nikanywe supu usingekutana na huyo mwanaume ungekunywa nini?
#Mwingine utamskia, baby nywele zangu zinaniwasha hatari,nitumie 30K niende saluni.

Jamani tunajua hali ni ngumu lakini mnavyojirahisisha sana ndo watu wanawa konki konki halafu mnakuja kulalama baadae.

Sasa umtongoze mwanachuo ndo hatari zaidi, bill zote zinahamia kwako, usipojielewa utajikuta unalipa ada ya chuo na kumgharamia kila kitu.

Wanaume wanapenda wanawake wasiopenda kuombaomba kuna wanaume wakishanza kupata bill zisizoeleweka ndo wanapata sababu ya kuwakimbia na wengine watawavumilia ila wakishakula papuchi hamuwaoni tena.

Tunaelewa njaa ni kali ila nendeni kwa step la sivyo nyeti zenu zitaumia sana.
Duuh
 
Back
Top Bottom