Dada zetu bwana...!

Dada zetu bwana...!

jamani na ujanja wenu mmedanganyika kuwa huyo ni msichana?angalia vinyweleo na sugu kwenye vidole, hicho ni kidume lakini sina uhakika kama kinakamuliwa au ni sanaa.anyway watu wa kupiga jicho hebu tuambieni ni salama hapo?
 
Wengine wanapaka lipstik nyeupe mdomoni na machoni, wote nilowaona zinawafanya wawe kichekesho, mi najiuliza hivi ni urembo tu au ndo sisi wanaume tunawahangaisha that much? Hawana kazi za kufanya.
 
huyu dada kachukiza sana.

kavaa kutangaza biashara zilizoko dukani (hizo bangili, herini, rangi ya kucha, lipstick, eye shadow, cocktail ring, ............)

mie kaniudhi hilo wigi tu kukaa upande......shurti liko juu juu! lol
 
Too much of anything iz harmful, wala hajanoga kabisa.
 
sisi wasichana tukisema hajapendeza tutaonekana tuna wivu lkn kusema kweli hilo wigi linaonekana kabisa ni wigi nywele zake za mbele zinaonekana halafu rangi ya wigi haipendeze kwa rangi ya ngozi yake!
hiyo lipstick ilivyojazwa mim hoi,hiyo miwanja na hizo mirangimirangi mingine mingi basi kashikashi tupu!
ila anaonekana akinawa hayo mavitu yakatoka ni MZURI SANA TENA NATURALE!
 
kavaa kutangaza biashara zilizoko dukani (hizo bangili, herini, rangi ya kucha, lipstick, eye shadow, cocktail ring, ............)

mie kaniudhi hilo wigi tu kukaa upande......shurti liko juu juu! lol

mie huko usoni tu, khaaa hata kama kutangaza biznec sio huko, lipstick gani hiyo, mbona mbaya hivyo, huo wanja khaa, ki ujumla kachukiza sana.
 
Umesema kweli FX hajapendeza hata kidogo cjui kapakwa au kajipaka mpaka urembo wake wa asili unapotea
 
sisi wasichana tukisema hajapendeza tutaonekana tuna wivu lkn kusema kweli hilo wigi linaonekana kabisa ni wigi nywele zake za mbele zinaonekana halafu rangi ya wigi haipendeze kwa rangi ya ngozi yake!
hiyo lipstick ilivyojazwa mim hoi,hiyo miwanja na hizo mirangimirangi mingine mingi basi kashikashi tupu!
ila anaonekana akinawa hayo mavitu yakatoka ni MZURI SANA TENA NATURALE!

hewaaaa, yani kwa sasa amejikosea kabisa kabisa....
 
kavaa kutangaza biashara zilizoko dukani (hizo bangili, herini, rangi ya kucha, lipstick, eye shadow, cocktail ring, ............)

mie kaniudhi hilo wigi tu kukaa upande......shurti liko juu juu! lol

ujue sio siri wafanyabiashara wa tz hatufikirii kabisaaa,yaani ujasiriamali kwetu bado sana,yaani wavivu kwa kila kitu,yaani mtu UNATANGAZA BIASHARA HIVI?tangazo linatakiwa linishawishi kununua kitu lkn hiyo lipstick aliyojipaka"mrembo" wetu hapo juu siwezi kuinunua sbb haijampendeza imemfanya aonekane kituko na nani atanunua awe kituko,lipsticl labda ni nzuri lkn haiendeni na mtu mwenye ngozi nyeusi kama huyu dada hapa ndo maana imemfanya wengine wadhani ni DUME!hayo marangi yake ya usoni yamefanya kila kitu anachotangaza kionekane kibaya!
 
yaani hata hiyo lipstick tungempa a pass ........ila kwenye macho....duh!

eye shadow na wanja wake balaa ......

hebu akina dada toeni ujuzi wenu kwenye lipstick. mwanamke mwenye thick lips, rangi gani asiikaribie?

mie naona kama hii pink na light colours nyengine kama light purple au nimekosea?
 
somo linahitaji thread yake nzima lkn hiyo rangi inawafaa watu wenye rangi nyeupe na huo mchirizi mweusi wa wanja huko mdomoni ndo umezidi kuchafua kabisa!
 
dada hebu kaianzishe thread tutoe somo .....................hakuna ubaya kujifunza kwa maujuzi ya wengine ati. :A S 8:
 
ujue sio siri wafanyabiashara wa tz hatufikirii kabisaaa,yaani ujasiriamali kwetu bado sana,yaani wavivu kwa kila kitu,yaani mtu UNATANGAZA BIASHARA HIVI?tangazo linatakiwa linishawishi kununua kitu lkn hiyo lipstick aliyojipaka"mrembo" wetu hapo juu siwezi kuinunua sbb haijampendeza imemfanya aonekane kituko na nani atanunua awe kituko,lipsticl labda ni nzuri lkn haiendeni na mtu mwenye ngozi nyeusi kama huyu dada hapa ndo maana imemfanya wengine wadhani ni DUME!hayo marangi yake ya usoni yamefanya kila kitu anachotangaza kionekane kibaya!

mie limenishawishi hata huko dukani cwez kupoteza muda kwenda kuosha macho achia mbali kununua.
 
Back
Top Bottom