Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
Jamani akina dada hivi lazima nywele za bandia? (general question to all them dadas out there)
huyu dada kachukiza sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani akina dada hivi lazima nywele za bandia? (general question to all them dadas out there)
mmh naogopa kuchema mie maana mmh!
hebu ngoja nilitafakari neno"makeup artist" kimoyomoyo!
acha tu, utaanza kutafuta OCEAN ROAD HOSP ikwapi.USILOGWE AKUKISI mmmmhhhh
huyu dada kachukiza sana.
kavaa kutangaza biashara zilizoko dukani (hizo bangili, herini, rangi ya kucha, lipstick, eye shadow, cocktail ring, ............)
mie kaniudhi hilo wigi tu kukaa upande......shurti liko juu juu! lol
sisi wasichana tukisema hajapendeza tutaonekana tuna wivu lkn kusema kweli hilo wigi linaonekana kabisa ni wigi nywele zake za mbele zinaonekana halafu rangi ya wigi haipendeze kwa rangi ya ngozi yake!
hiyo lipstick ilivyojazwa mim hoi,hiyo miwanja na hizo mirangimirangi mingine mingi basi kashikashi tupu!
ila anaonekana akinawa hayo mavitu yakatoka ni MZURI SANA TENA NATURALE!
kavaa kutangaza biashara zilizoko dukani (hizo bangili, herini, rangi ya kucha, lipstick, eye shadow, cocktail ring, ............)
mie kaniudhi hilo wigi tu kukaa upande......shurti liko juu juu! lol
Alikamaliza kakopo kote kujipaka
halafu cjui alikuwa anaenda ofcn, cjui ndio mtoko yaani cjaelewa kabisa.
yaani hata hiyo lipstick tungempa a pass ........ila kwenye macho....duh!
eye shadow na wanja wake balaa ......
hebu akina dada toeni ujuzi wenu kwenye lipstick. mwanamke mwenye thick lips, rangi gani asiikaribie?
mie naona kama hii pink na light colours nyengine kama light purple au nimekosea?
somo linahitaji thread yake nzima lkn hiyo rangi inawafaa watu wenye rangi nyeupe na huo mchirizi mweusi wa wanja huko mdomoni ndo umezidi kuchafua kabisa!
ujue sio siri wafanyabiashara wa tz hatufikirii kabisaaa,yaani ujasiriamali kwetu bado sana,yaani wavivu kwa kila kitu,yaani mtu UNATANGAZA BIASHARA HIVI?tangazo linatakiwa linishawishi kununua kitu lkn hiyo lipstick aliyojipaka"mrembo" wetu hapo juu siwezi kuinunua sbb haijampendeza imemfanya aonekane kituko na nani atanunua awe kituko,lipsticl labda ni nzuri lkn haiendeni na mtu mwenye ngozi nyeusi kama huyu dada hapa ndo maana imemfanya wengine wadhani ni DUME!hayo marangi yake ya usoni yamefanya kila kitu anachotangaza kionekane kibaya!