Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Fani yangu inahusiana na mwili wa mwanadamu. Ndio kazi yangu. Nimeisomea na ninaifanya. Mtu anawezaonekana kuwa ana maumbile makubwa katika hali ya kawaida kwa vile parasympathetic discharge kwenye organ yake ni kubwa kuliko yule aanayeonekana ana madogo. Lakini wote wakisimama, parasympathetic discharge inakuwa sawa na maumbile yanakuwa hayatofautiani sana. Usiniulize parasympathetic ni nini.
We umejuaje?