Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
We umejuaje?
Unaeza kutuambia ni katika mandhari gani unaona maumbile ya kiume yakia yamesimama?Fani yangu inahusiana na mwili wa mwanadamu. Ndio kazi yangu. Nimeisomea na ninaifanya. Mtu anawezaonekana kuwa ana maumbile makubwa katika hali ya kawaida kwa vile parasympathetic discharge kwenye organ yake ni kubwa kuliko yule aanayeonekana ana madogo. Lakini wote wakisimama, parasympathetic discharge inakuwa sawa na maumbile yanakuwa hayatofautiani sana. Usiniulize parasympathetic ni nini.
Unaeza kutuambia ni katika mandhari gani unaona maumbile ya kiume yakia yamesimama?
Na mangapi umeyaona mpaka ufanye conclusion kuwa wanaume wote wapo hivyo?
Umepanic mkuu.Usiulize maswali ya kijiweni. JF siyo kijiwe. Udaktari ni kazi watu wanasomea miaka 5-7. Tunashughulika na virusi/bakteria ambao hawaonekani kwa macho sembuse organ ambazo zinaonekana kwa macho kama penis? Wewe huko kijiweni unadili na yanayoonekana kwa macho tu. Hata ukiambiwa Rais wa kwanza wa nchi alikuwa Nyerere utakataa eti kwa sababu Nyerere alikufa kabla haujazaliwa na kwa hiyo haukumwona. Maswali ya kijiweni peleka huko kijiweni kwa wavuta bangi wenzio.
Utamu utamu! but guys usafi pia jambo la muhimu sana yaani usafi jamani muhimu sana sanaEwaaaaaa[emoji91][emoji91]
Nenda Veta Chang'ombeItabd nipate Elimu ya kutosha nikaipractise vizur,
napenda Sana kutry something new, ila Hilo nilijaribu Mara kibao likanikata stimu
Kumbe mchawi Ni Elimu kwanza