Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Sawa kabisa ,,kama kuolewa basi uolewe na unayeridhika nae, siyo tu uolewe halafu unaishi kwa majuto.
Mimi niliishi na mke wangu miaka mitatu hadi tukaja kuamua wenyewe kuwa sasa tuoane. Tunaenjoy ndoa yetu sana sasa.
 

Thamani ya mwanamke ni ndoa labda uwe na uwezo kipato uandishi wako inaonekana wewe ndio tatizo unayekwamisha safari
 
Thamani ya mwanamke ni ndoa labda uwe na uwezo kipato uandishi wako inaonekana wewe ndio tatizo unayekwamisha safari
umeharakisha kusoma au uelewa wako Ni mdogo hamna mahali nimesema Wala kumaanisha ndoa haina thamani kwa mwanamke.,,
 
To some,marriage aint a priority,
Kwahiyo hao nna hakika hata hawastuki na maisha yanaenda tu
Kuna mmoja ashawai niambia ye hataki kuolewa as she is paranoia so hawezi kustand marriage,
Kwahiyo sio wote ambao hawajaolewa wanajisikia vibaya,afu ujue hizi ishu ni huku bongo tu,ulaya huko sio ishu wala nini mambo ya ndoa sasa huku sijajua bado kama tumekwama 80's au vipi,
 
Aah tuacheni na mileage zetu bana, kwanza hainaga makombo ikioshwa tu inakua mpyaa[emoji57][emoji57]
Nan kakudanganya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajifariji eeh ..kama Haina makombo baki eneo ulilokulia km utaolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…