uttoh2002 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 17,060 Reaction score 32,400 Jan 25, 2022 #341 Kiraka said: Hapana hii uwezekano mkubwa imetolewa kwenye hizo hospitali baada ya kugundua maiti haina mtu. Click to expand... Hapo Sawa! Naelewa, may be! Hivi figo ya maiti inafaa?
Kiraka said: Hapana hii uwezekano mkubwa imetolewa kwenye hizo hospitali baada ya kugundua maiti haina mtu. Click to expand... Hapo Sawa! Naelewa, may be! Hivi figo ya maiti inafaa?
Binadamu Mtakatifu JF-Expert Member Joined Jan 6, 2021 Posts 4,226 Reaction score 8,879 Jan 26, 2022 #342 vvm said: Ebwanae toto kali ivo hao wakaona Figo, Mungu apumzishe mahali pema anapostahili Click to expand... Anastahili motoni huyo
vvm said: Ebwanae toto kali ivo hao wakaona Figo, Mungu apumzishe mahali pema anapostahili Click to expand... Anastahili motoni huyo
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Feb 19, 2025 #343 Hatari sana