Dada zetu kuweni makini na madanga mnayopata sehemu za starehe

Dada zetu kuweni makini na madanga mnayopata sehemu za starehe

Mkuu usipende kununua mapenzi utafanyiwa sana hayo unayofanyiwa. Wanawake tuna tabia hata kama hakutaki ila chakula chako na pombe atakunywa. Ni bora hizo gharama unazotumia kwa wanawake wasumbufu ukazitumia kwa mwanamke anaekuelewa. Sio kila unaemtaka kwa kutumoa pesa zako atakutaka pia. Tumia pesa zako unapoonyeshwa kukubaliwa

hatununui kabla ya makubaliano, issue inakuja makubaliano yanapokiukwa inakuwa dharau ya kiwango cha juu....waungwana watakusamehe, wasio waungwana lazima wakulie timing ndio hivyo unakuta huna figo....
 
sio kweli
Tena wenyewe ndo wanasema unapanda vyeo.
Ila yote kwa yote hakuna sababu ya kumuua mwanamke kisa kala hela zako.
Unajua gharama ya ROHO?
Acheni mzaha vijana na mihemko
mimi siui, na naendelea kua mjingamimi ila wengine hawatovumilia huo ungese
 
Kama mtu anaenda na mwanaume sababu akanywe hizo pombe umezitaja huyo ni mshamba na limbukeni wa starehe. Ukaliwe kisa Hennessy seriously????

Lakini tu dunia imebadilika hata wanaume msiwe comfortable sana na wanawake mnaokotana kwenye starehe
Wee unsema hennesy watu tunawala warembo kisa kitimoto au savannah na pizza
 
Hakuna Mechanism ya Kuhifadhi kiungo cha Binadamu ili Kipandikizwe kwa Binadamu mwingine maana Figo ili iendelee kuwa Active na kufanya kazi lazima ipate Blood suppy muda wote tena yenye Chakula na Oxygen sasa kama Umaitoa ukaiweka hivyo vitu vitatoka wapi??? Ndo maana inabdi Itolewe na Kupandikizwa at Instant... Ndo maana hata mtu akifa na organ zake labda muwahi kabla hajapoa ndo itolewe otherwise inakufa nayo...
Inawezekana baada yakulegezwa na madawa ya kulevya hizo process nyingine zote zilifuata akiwa hajitambui (yaani kupimwa, na kutolewa kitaalam) af ndio wakamtupa.
 
sio kweli
Tena wenyewe ndo wanasema unapanda vyeo.
Ila yote kwa yote hakuna sababu ya kumuua mwanamke kisa kala hela zako.
Unajua gharama ya ROHO?
Acheni mzaha vijana na mihemko

inawezekana pia hizo hela wanazokula kuna mahala watu wanaweka roho zao rehani....wengine wavuvi dip sea, wengine seamen wanapigwa na mawimbi dip sea huko, wengine wawindaji kupishana na akina lion huko, wengine wapiga gia long trip misitu ya DRC, wengine majangiri, wengine wezi majambazi, wengine wanajeshi wametoka front line, nk nk.....
 
Hatari sana. Mambo ya kwenda kula kichwa unaenda kuliwa wewe. Ni muhimu kumjua mtu kabla ya kukaa faragha. Haya mambo ya kuokotana humjui mtu wengine serial killers. Ulimwengu unatisha sana hata nyie wanaume muwe makini. Sio kila mwanamke anatafuta mwanaume huko kwenye starehe wengine wanatafuta viungo wapeleke kwa waganga.

Apumzike kwa amani mdada mzuri
Wee utakuwa mdau wa crime channel . Waeleze shauri yao watakutana na akina ted bundy wanyongwe
 
Bado sio sababu ya kumuua mwanamke..
Nimetoa mfano Mimi mwenyewe Kuna mwanamke nilikuwa nae anaitwa aziza huyu demu alipoona nataka kumuacha akanibambikia mimba akaniambia kuwa Ana mimba yangu ni story ndefu.
Mpaka nakuja kujua nikishatumia Zaid ya milioni 2.maana operation tu alinipiga laki 4 acha malezi ya mtoto bandia .acha malezi yake yeye mwenyewe.mtoto alikuwa anakunywa maziwa ya 45,000 Yale ya sma.
Ila mpaka leo sijawaza kwenda kumtafuta kumpiga hata Kofi.na kwao napajua na nikimtaka hata Leo Nampa Ila roho ya mtu ni NZITO
inawezekana pia hizo hela wanazokula kuna mahala watu wanaweka roho zao rehani....wengine wavuvi dip sea, wengine seamen wanapigwa na mawimbi dip sea huko, wengine wawindaji kupishana na akina lion huko, wengine wapiga gia long trip misitu ya DRC, wengine majangiri, wengine wezi majambazi, wengine wanajeshi wametoka front line, nk nk.....
 
Inatisha. Sema wala vichwa hawaelewi hayo. Wanaona kila alie mbele yao ni mteja.
Ndio hapo wee wawekee mapombe wanaona wamepata danga la ukweli kumbe wee unawalia timing tuu...baadae unajibebea kirahisi kabisa
 
Back
Top Bottom