Dada zetu kuweni makini na madanga mnayopata sehemu za starehe

Dada zetu kuweni makini na madanga mnayopata sehemu za starehe

hahahahaha, wanaume mwisho kusachiwa tu mifukoni....dada zetu tamaa za hainessy, hawa strangers ndio wanatoa hizo offer za Hainessy, Majack D, Jamerson, shampagne....basi hapo wenyewe roho kwatu...kifuatacho sasa ni kutolewa figo.....
Kama mtu anaenda na mwanaume sababu akanywe hizo pombe umezitaja huyo ni mshamba na limbukeni wa starehe. Ukaliwe kisa Hennessy seriously????

Lakini tu dunia imebadilika hata wanaume msiwe comfortable sana na wanawake mnaokotana kwenye starehe
 
Kuna demu nilimpa offer mahala, akapiga mtungi katumia hela zangu (siri yangu) halafu ananiambia ana njaa, nikamwambia aagize msosi akaagiza kuku mzima....at the end kapotea, sasa kama huyu siku siunajilengesha kwake unampiga mtungi kidogo na nusu kaputi kidogo akizima tu, unawapelekea jamaa kujilipa gharama zako..... "If somebody did a good thing for you, its better doing the same..." umenunuliwa mipombe na kula minyama ya bure baada ya wewe nawe kwenda kutoa burudani unakimbia, siku nyingine ukitolewa figo utamlaumu nani?
Na wewe badilisha uchaguzii wa wanawake. Mwanamke anakula kuku mzima anaweza akakupiga usipompa ujira wake asubuhi.
Lakini pia sio kila ukimkarimu Mwanamke basi akurudishie ngono, inawezekana hakua tayari ndo maana alikukimbia.
 
Kuna demu nilimpa offer mahala, akapiga mtungi katumia hela zangu (siri yangu) halafu ananiambia ana njaa, nikamwambia aagize msosi akaagiza kuku mzima....at the end kapotea, sasa kama huyu siku siunajilengesha kwake unampiga mtungi kidogo na nusu kaputi kidogo akizima tu, unawapelekea jamaa kujilipa gharama zako..... "If somebody did a good thing for you, its better doing the same..." umenunuliwa mipombe na kula minyama ya bure baada ya wewe nawe kwenda kutoa burudani unakimbia, siku nyingine ukitolewa figo utamlaumu nani?
tamaa mbele mauti nyuma, ndiyo dawa yao mpaka somo liwakae
 
kiwango cha tolerance binadamu na binadamu kinatofautiana, wapo binadamu wengi ni wema ila unyama waliofanyiwa ndio huwafanya nao kuwa wanyama ili waweze kusurvive...

Issue sio hela zilizotumika kunywa pombe na chakula, issue ni dharau ya kiwango cha juu na kukiuka makubaliano... angeweza tu kukataa pia na mhusika angetafuta utaratibu mwingine..

Dunia ni sehemu salama sana, ila wanadamu ndio wanaifanya isiwe salama kwa matendo yao.. Japs walimchokoza USA mpaka kiwango cha juu cha tolerance ya USA leo hii Japs wamepata funzo zuri na wanaishi kwa busara..
Mkuu usipende kununua mapenzi utafanyiwa sana hayo unayofanyiwa. Wanawake tuna tabia hata kama hakutaki ila chakula chako na pombe atakunywa. Ni bora hizo gharama unazotumia kwa wanawake wasumbufu ukazitumia kwa mwanamke anaekuelewa. Sio kila unaemtaka kwa kutumoa pesa zako atakutaka pia. Tumia pesa zako unapoonyeshwa kukubaliwa
 
Hakuna Mechanism ya Kuhifadhi kiungo cha Binadamu ili Kipandikizwe kwa Binadamu mwingine maana Figo ili iendelee kuwa Active na kufanya kazi lazima ipate Blood suppy muda wote tena yenye Chakula na Oxygen sasa kama Umaitoa ukaiweka hivyo vitu vitatoka wapi??? Ndo maana inabdi Itolewe na Kupandikizwa at Instant... Ndo maana hata mtu akifa na organ zake labda muwahi kabla hajapoa ndo itolewe otherwise inakufa nayo...
Nashukuru sana kwa maelezo yaliyonyooka. Kama nimukuelewa vizuri ni kuwa lazima wataalamu tena mahiri kwenye hiyo fani wahusike na kwa kiasi kikubwa kwenye nchi za kwetu huwezi tu kutolewa figo akapandikizwa mtu mwingine sehemu yoyote zaidi ya hospitali. Sasa hizi stori sijui dada alikuwa baa na mzee mmoja akamlewesha akaenda kutoa figo zinaonekana kabisa zitakuwa uwongo uwongo tu.

Hapa ndio naona umuhimu wa serikali kuingilia kati haraka kwani hizi stori za uwongo uwongo zimekuwa nyingi sana kwenye magroup ya whatasapp. Ni stori ambazo zinaleta taharuki sana kwenye jamii bila sababu ya msingi. Wote tunajua serikali kupitia TCRA inaweza kabisa kuwapata hawa wasambaza taarifa ili waweze kuthibitisha taarifa zao. Na ni wajibu wa serikali kutoa taarifa sahihi kwenye vyombo vya habari kuliko kuendelea kuacha habari tata kama hizi zisambae kwa kiasi kukbwa kwenye vyombo vya habari kwani kwanza zilianzia kwenye whatsapp sasa hivi zipo JF hatujui kesho zitafika wapi hasa ukizingatia baadhi ya waandishi huwa wanaokoteza habari badala ya kutatfuta na kufuatilia habari kiundani.
 
Suala la mauaji sio la kulifurahia.
Hata Kama Kuna. Mwanamke amekulia hela zako.hayo ni Mambo ya kukubaliana ukiona haeleweki endelea na mishe zako SIO KUUA.
Nafsi ya MTU NI NZITO NZITO NZITO.tena ni NZITO sanaaa
sikubaliani na mauaji
ila nakubaliana na misemo hii 'unapanda ulichovuna' , 'tamaa mbele mauti nyuma'
 
Kaka mtu kutolewa FIGO sio lazma hyo figo ikauzwe.
na sidhani Kama mleta mada Nia yake NI kutufunga kamba mtu anaweza akamuua mwenzie akaamua tu kumkata kata vipande ili mradi tu kumkomoa.na hata huyo inaweza akawa kaamua tu kuitoa hyo figo sio kwa lengo la kuuza
Nashukuru sana kwa maelezo yaliyonyooka. Kama nimukuelewa vizuri ni kuwa lazima wataalamu tena mahiri kwenye hiyo fani wahusike na kwa kiasi kikubwa kwenye nchi za kwetu huwezi tu kutolewa figo akapandikizwa mtu mwingine sehemu yoyote zaidi ya hospitali. Sasa hizi stori sijui dada alikuwa baa na mzee mmoja akamlewesha akaenda kutoa figo zinaonekana kabisa zitakuwa uwongo uwongo tu.

Hapa ndio naona umuhimu wa serikali kuingilia kati haraka kwani hizi stori za uwongo uwongo zimekuwa nyingi sana kwenye magroup ya whatasapp. Ni stori ambazo zinaleta taharuki sana kwenye jamii bila sababu ya msingi. Wote tunajua serikali kupitia TCRA inaweza kabisa kuwapata hawa wasambaza taarifa ili waweze kuthibitisha taarifa zao. Na ni wajibu wa serikali kutoa taarifa sahihi kwenye vyombo vya habari kuliko kuendelea kuacha habari tata kama hizi zisambae kwa kiasi kukbwa kwenye vyombo vya habari kwani kwanza zilianzia kwenye whatsapp sasa hivi zipo JF hatujui kesho zitafika wapi hasa ukizingatia baadhi ya waandishi huwa wanaokoteza habari badala ya kutatfuta na kufuatilia habari kiundani.
 
Kafanyiwa jambo zuri sana
Anapanda umalaya unadhani angevuna nini kama sio mauti?
Hawa malaya hata uwafungulie biashara atatoroka akadange apate pesa ya haraka pesa ambayo anaishia kununua sabufa, wigi na mikucha ya bandia
 
HAKUNA Cha tamaa mbele mauti nyuma.
HAKUNA Sheria yoyote Wala kitabu chochote Cha DINI hapa duniani kinachosema mwanamke akila hela zako MUUE.
Mimi nilishahudumia mwanamke aliyejipa mimba bandia si CHINI ya milioni 2 baada ya kujua sikuchukua hatua yoyote zaidi ya kumshukuru Mungu.mpaka Leo sijawaza kwenda kumtafuta kumpiga hata Kofi.
sikubaliani na mauaji
ila nakubaliana na misemo hii 'unapanda ulichovuna' , 'tamaa mbele mauti nyuma'
 
Back
Top Bottom